huyo huyo Mkuu kumbe unamfahamu fika..i really like that guy kwa misemo yake..Mizigo foreverUnamaanisha Sheikh Kipozeo?
Mapenzi sio Shape...Kuna Wanawake wana Shape
kuubwaaaaaaa lakini wana akili ndogo kama punje
ya hindi,ukimuweka ndani huyu ni hasara! Kuna
Wanawake hawana Shape lakini kichwani wako very smart na wana all qualities za kuwa mke na mama
bora...Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya
nyama za nyuma ukidhani hizo nyama ndo
zitaendesha nyumba. Nyumba haiendeshwi kwa
Shape ya Kalio,inaendeshwa kwa akili.Na ujue mama
ndio kiongozi wa Familia,inapaswa awe na akili na awe msaada kwako kama mume ili mfanikiwe.Taifa
imara hujengwa na Familia imara na bora..Uchaguzi ni
wako,na ukumbuke,Kalio huwa na tabia ya
kuyumbayumba ukitembea,na hivyo ndivyo hata
Familia yenu itakavyo-yumbayumba kila siku kwa
sababu itakuwa inaendeshwa kwa kalio na sio akili! Kwa hisani ya watu wa Marekani!
Hahahah.... Unanihamasishaacha watu watafute kalio
sura tutarekebisha baba...
kisa cha kuishi na mama paroko ndani hata kutoka nae shidaaa..
kisa ana smart mind....
hapana kwakweli
watu wanataka wakirudi home unamkuta mtoto kajaa sofani..."pole baby"
sio unadakwa na skeleton ya mama mchungaji na kitenge chake kizito kama anaenda msibani...
akhuuuu... watuachee!!
wanawake wazuri wapo na akili za maisha pia wanazo.
sasa jeeeHahahah.... Unanihamasisha
Mwenyewe napenda miss bantu shekh hao wembamba itokeee tuu...hahahahayo hayo ndo tunayataka..tunachukua mizigo inayokonga nyoyo..hizo flat screen mi spendi labda itokee tu..lakini nafsi yangu hasa ni mizigo ..qoute sheikh wa mizigo.
Hahaaa..yule sheikh anajua maana ya mizigo..wanamke umbo bhana ndo mapambo ya dunia hii hizo akili wapeleke havard.Mwenyewe napenda miss bantu shekh hao wembamba itokeee tuu...hahaha
Shekh kipozeo msemaji wa wanaume east africa
Kuna clip moja anasemaHahaaa..yule sheikh anajua maana ya mizigo..wanamke umbo bhana ndo mapambo ya dunia hii hizo akili wapeleke havard.
Hupati vyote STUNTER, umkute handsome guy mwenye mpunga na cucumber khe yeye nanai? Anakuwa handsome hana pesa, ana pesa na kibamia, cucumber hana pesa wala siyo handsome.Mapenzi sio shape kuna wanawake wana shape kuubwa lakini wana akili ndogo kama punje ya hindi, ukimuweka ndani huyu ni hasara. Kuna wanawake hawana shape lakini kichwani wako very smart na wana all qualities za kuwa mke na mama bora, sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo nyama ndo zitaendesha nyumba.
Nyumba haiendeshwi kwa shape ya kalio, inaendeshwa kwa akili na ujue mama ndio kiongozi wa familia, inapaswa awe na akili na awe msaada kwako kama mume ili mfanikiwe. Taifa imara hujengwa na familia imara na bora. Uchaguzi ni wako na ukumbuke, kalio huwa na tabia ya kuyumbayumba ukitembea na hivyo ndivyo hata familia yenu itakavyo yumbayumba kila siku kwasababu itakuwa inaendeshwa kwa kalio na sio akili.
Kwa hisani ya watu wa Marekani!
Msalimie yule rafiki yako mpendwa mwaya!(mlokole)[emoji1]Hupati vyote STUNTER, umkute handsome guy mwenye mpunga na cucumber khe yeye nanai? Anakuwa handsome hana pesa, ana pesa na kibamia, cucumber hana pesa wala siyo handsome.