Kwa wanaume wote: Mwanamke ni akili sio shape

Kuna utafiti wowote wa kisayansi wa kimaandiko uliothibitisha kwamba wanawake wenye makalio makubwa huwa na akili ndogo mtoa mada?
 
Hizi ni sayansi za kitandani babu
 
mpendwa hakika umenena.AKILI muhimu
 
sasa shida ipo kwa wanawake warembo yaan sijui walilaaniwa wanachowaza ni starehe bac usipoangalia ukakurupuka kuoa anakuendesha kwa kisa eti anafatiliwa na midume mingi. wengi wanakauli ya kwamba " MIMI SIMTETEMEKEI MWANAUME" ndo maana wanaishia kujiuza au kupigwa danadana. na uzuri wenu mtaishia kuwa mabaamedi mnawahudumia wanawake wasio warembo wakiwa na waume zao.
MAUMIVU YAKIZIDI MUONE THT
 
Hahahaha.... OVaaa
 
Kuna wengine wanashape tamu na kitandani watamu na pia wana akili sana tu....tuache mazoea
 
Back
Top Bottom