Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Hapo nitauvaa uzalendo hadi nitageuka kuwa mlinzi wake
Hapo nitauvaa uzalendo hadi nitageuka kuwa mlinzi wake
NashangaaUnamfurahia au unashangaa?
Sijui kama ataweza kumtia Lupango mlinzi wake
Sijui kama ataweza kumtia Lupango mlinzi wake![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ha ha haaaa!!" umempa za machoni mkuu,Umetumwa na watu wa Nissan nyeupe wewe
Wewe unafanya Kazi ofisi Fulani iko karibu na baharini hapo Dar, sasa kamwambie bosi wako Kipilimba hatutegeki kijingajinga hivi. Hizo pumba kategee njiwa wenzio.Amani Ya Bwana Izidi Kuwa Nanyi Ndugu Zangu Wote.
Katika Kuzidi Kuonyesha Upendo Kwa Wake Zetu Nimeona Nitoe Wazo Kuwa Kila Mdau Aweke Angalau
Picha Moja Akiwa Na Familia Yake.
Karibuni.
Habari dadakeMamy akee
Nasubiri picha yako ujueShhhiiiiiii![]()
![]()
![]()
![]()
cc KK.
Mbona hujaweka picha yako kipenzi?Weka mkuu maana mi ni dereva wa nissan nyeupe nakuja kukuchukua
Naona unanitafutia PMs kwa nguvu😀
Mbn suala gumu sana ilo, hata kama ni danganya toto sio namna iyoAmani Ya Bwana Izidi Kuwa Nanyi Ndugu Zangu Wote.
Katika Kuzidi Kuonyesha Upendo Kwa Wake Zetu Nimeona Nitoe Wazo Kuwa Kila Mdau Aweke Angalau
Picha Moja Akiwa Na Familia Yake.
Karibuni.
Wewe nitakutumia PM sawaaNasubiri picha yako ujue