NaaamWow!!
Asante mchepuko wangu
Ngoja kwanza nichukue Nissan yangu fast nikaibebe familia hadi beach nikachukue selfie iliyotukuka halafu nitaipost hapaWanaume twasubiri picha za familia zenu, mkuje hebu!!!
Hivi nilikuita eeh!!!Naaam
Hapo washafeli hata mimi ngumbalo nimewastukia
JamaaniNgoja kwanza nichukue Nissan yangu fast nikaibebe familia hadi beach nikachukue selfie iliyotukuka halafu nitaipost hapa
View attachment 616645
Hujawahi kuniangusha....Mim nna jicho makini....
Hata siikumbuk aiseeHivi nilikuita eeh!!!
Kwanini usianze weweAmani Ya Bwana Izidi Kuwa Nanyi Ndugu Zangu Wote.
Katika Kuzidi Kuonyesha Upendo Kwa Wake Zetu Nimeona Nitoe Wazo Kuwa Kila Mdau Aweke Angalau
Picha Moja Akiwa Na Familia Yake.
Karibuni.
Jambo zuri lazima liandaliwe, sasa ametukurupushaJamaani
Hahahaaaaaaaaa,,,,,,,yani wewe mtu sipati picha ulivyoWewe siyo Ngumbalo bali ni Ngumbaru sawa? Waambie hao ' Mapopoma ' wenzio wabuni mbinu zingine hizi wanazozitumia sasa akina GENTAMYCINE wanazitambua na kuzishtukia mapema sana.
TehHata siikumbuk aisee
SawaJambo zuri lazima liandaliwe, sasa ametukurupusha
Mtamu kweli kweli.Nikukabidhi huyu??
View attachment 616660