Kwa Wanaume Wote JF

Kwa Wanaume Wote JF

Dah!! mkuu huku sio Instagram wala fesibuku unadhani watu wana ulimbukeni namna hiyo!!!

mbona wewe haujaweka yako?
 
Amani Ya Bwana Izidi Kuwa Nanyi Ndugu Zangu Wote.
Katika Kuzidi Kuonyesha Upendo Kwa Wake Zetu Nimeona Nitoe Wazo Kuwa Kila Mdau Aweke Angalau
Picha Moja Akiwa Na Familia Yake.
Karibuni.
Mimi bado nipo nipo yangu hii hapa
tapatalk_1507481681414.jpeg
 
Mkuu uko katika ' assignment ' maalum kabisa ya ' kuwatambua ' Members wa JF kwa ' Sura ' zao halisi ili ' Fukwe ' zetu za Bahari zifurike mifuko mingi ya Sandarusi yenye Kamba na mawe? Mnajitahidi sana katika ' zoezi ' lenu hili ambalo kila huwa mnaibuka nalo kwa njia mbalimbali.
Hapo washafeli hata mimi ngumbalo nimewastukia
 
Back
Top Bottom