Hata zenu pia zinahitajita mleta uzi hajachagua jinsia, tena mngeaanza wanawake ndo itakua vizuriWanaume twasubiri picha za familia zenu, mkuje hebu!!!
NzuriHabari dadake
Me too...Nzuri
Miss wewe
Umeamua kubadili gia anganiHata zenu pia zinahitajita mleta uzi hajachagua jinsia, tena mngeaanza wanawake ndo itakua vizuri
JamaaniMe too...
[emoji23] ndege sahz inarud reverseUmeamua kubadili gia angani
Usije kuniwekea emoji kwenye picha ya familiaMarhabaaaa
Maana yako kubwa sana ongera
Kipenzi mbona tayari zamani nimeweka.Mbona hujaweka picha yako kipenzi?
Haya bhana ila Mjinga haitwi Popoma bali anaitwa Ngumbaru na Mpumbavu ndiyo anaitwa Popoma. Anyways kila la kheri Popoma na tupo pamoko / pamoja.