Kwa wanaume watu wazima tu!!!


kama inawezekana omba likizo
ya siku kadhaa au hata wiki
mfwate mkeo,ila sikushauri utoke nje!!
mi ni mama mtu mzima nimecoment kwa
niaba ya huby wangu!!

Asante mama ila napenda zaidi kupata comment za wababa maana wao wanaelewa hali yangu
 

Mmmmmh!!!!!!!!!!!!??????
 

Asante kwa haya maziwa ya fikra!!!!
 

Asante sana mkuu, hii itanisaidia
 
Hongera sana kaka kwa kukaa miezi miwili bila kuzini, unaweza kukaa miezi minne iliyo baki bila kuzini. mimi nimewahi kukaa miezi 12 bila kufanya ngono. fanya mambo yafuatayo,amini kuwa unaweza kukaa miezi sita bila kuzini,ukishaamini kuwa unaweza ubongo wako utatafuta njia za kuweza, amini kuwa unaweza kushinda zinaa , usikae chumba kimoja na mwanamke mmoja au usikae na mwanamke mmoja ofisini kwa mda mrefu, usibusiane na wanawake, wanawake wasikushikikeshike,fanya kazi kwa bidii na marifa kila siku , fanya mazoezi kila siku jioni na mwisho mwombe mungu akusaidie.Hongera sana karibu katika chama cha wanaume waaminifu kunaraha na baraka tele
 
Umeongea kwa hisia kweli "mama mtu mzima "
Ushauri mzuri nami nakuunga mkono!

Nanimimi namuunga mkono ila ni kiasi cha pesa kinachotakiwa ili niweze kufika aliko mrembo wangu
 
Nakushauri bora upiga punyeto broo kuliko conrbar au meeda broo
 
Mimi siyo mwanaume ila nakushauri kama mazoezi yameshindwa kukuondolea tamaa basi nenda kwenye maombi. Ukiona una muda uko idle tafuta sehemu penye mahubiri au mafundisho ya Neno la MUNGU ukajumuike hapo. Utarudi na mafunzo yakushinda tamaa. Chonde usijempokea mkeo na zawadi ya virusi arudipo toka safari. Inamaana hata hamskype na mkeo?
 
Nanimimi namuunga mkono ila ni kiasi cha pesa kinachotakiwa ili niweze kufika aliko mrembo wangu

MMU watakupiga taf.. imagine kila mtu buku10 si ushafika na kurudi..
 

Masikini NYANGUMI umekamatika. Yani wewe tunaita una KISADO hahaha.Tafuta yoyote UGEGEDE ndio maana tulipewa chance ya kutubu. Huku nje kaka wake za watu waliwa mbaya. Uenda mwenzake nae wanamgegeda. Wewe malaika bwana? Unaweza kubaka ikawa scandal kubwa zaidi ya hicho KISADO. Tumia kinga tu ndio cha muhimu.
 
Hakuna mrembo zaidi ya mke wangu!!!

Mkuu nakushukuru sana kwa comment hii, huu ndio strategy ya kwanza ya kukabilina na janga hili!

Ukiendekeza kufanya mwili unachokitamani utaleta balaa nyumbani kwako na huyo mke unayesema hakuna mzuri kuliko yeye ukamharibia, tena saana tu!

Miili hii Mkuu haitosheki, fikiria umefanya na mke wako mara ngapi, jee umewahi kutosheka? umekula mara ngapi, jee umewahi kutosheka? umetamani vitu vingapi vizuri hapa duniani, umepata vingapi, jee umewahi kutosheka!?

Jibu ni rahisi tuu hujawahi kutosheka, na hutakaa utosheke, MIILI hii haina shukrani Mkuu!

LAZIMA uwe na uwezo wa kuucontrol mwili wako, na sio kila k2 mwili unataka unaupatia, u will be killed unnoticed na ukaaviacha hivyo vizuri unavyofikiri unavipenda sana!

Imagine umeliona dude, HAMMER vehicle! ukalitamani sana na hata kutaka uliendesha siku hiyo hiyo, je utaenda kuvunja kiyoo na kuliendesha kwa sababu unalipenda sana!? jibu sio hata wewe unajua kuna taratibu za kulipata ambazo hazitakufanya ujutie maishani mwako! na utafurahiya milele

Mkuu simama, mpende sana mke wako na fanya chochote kwa ajili yake na kulinda ndoa yenu kwa gharama yoyote ikiwemo kutokutaka kumtendea dhambi kubwa namna hii (kutoka nje ya ndoa) na HICHO ndicho kipimo cha juu cha upendo kwa familia yako!

Watakushauri sana, kama walivyo anza kukushauri uende sijui wapi..... Mkuu hawajui nini maana ya familia, hwajui thamani ya mke, na Kubwa hawajui wanasema nini, Nawasamehe wote! nawe pia wasamehe

Moyo wako unajua ni kipi sahihi cha kufanya kuondolea majuto!

Usiku mwema sana.
 
ukinyegeka maombi hakuna, huyo anaweza kubaka. Miezi miwili tu analialia na maukame. Mwezi watatu, wanne, watano, wa sita yani atakuwa akitembea zinamwaka. Nyangumi kakamatika. Dawa ya njaa ni kula tu. Umekula nini ndio cha muhimu.
 
Ama kweli!

ukinyegeka maombi hakuna, huyo anaweza kubaka. Miezi miwili tu analialia na maukame. Mwezi watatu, wanne, watano, wa sita yani atakuwa akitembea zinamwaka. Nyangumi kakamatika. Dawa ya njaa ni kula tu. Umekula nini ndio cha muhimu.
 
Mkuu pole sana dhambi inakunyemelea mlangon kwako nakushauri usithubutu kusalit ndoa yako ukianza huo mchezo hutaacha na utajiletea mikosi, achana kabisa na hiyo habar vipi mkeo nae huko alipo kichupa kikijaa? Mtunzie heshima yake hatakufa kwa kutokufanya ngono vumilia.
 
Wewe asije mtu yeyote akakudanganya, akakujaza ujinga hapa kwenye forum. Uaminifu unakuja katika mazingira ya kawaida. Sasa mwenzio miezi sita kweli na wewe unatuuliza hapa ufanyeje, utapata ushauri wa kukufaa kweli? Ubongo huwa una determine mtu afanyeje. Ili usiwe mwendawazimu acha brain yako ifanye kazi yake. Hilo swala halina jibu sahihi, tutakuchanganya tu. Just a hint; hakuna engine inayokaa 24 weeks bila kufanyiwa warm up hata kama yote imeundwa kwa umeme. Na mwenzio akirudi 24 weeks later utaanza kumtumia kukufanyia physical training? Asiporidhika kutokana na udhaifu wako kutokana na ukosefu wa practice unajua atakachokifanya? A man has got to do what he's got to do.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…