Kwa wanaume walio owa

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Jamani mimi mwenzenu nimeamnua kuachana kabisa na mambo ya nyumba ndogo kwani sioni faida yake dhidi ya hasara. hapa chini ni sababu zilizopelekea mimi kuchukua maamuzi haya magumu.

1. Gharama - Wanatumia pesa nyingi kiliko mke wako na watoto

2. Magonjwa - Ndio chanzo cha kuleta magonjwa nyumbani

3. Umalaya - Wengi siyo waaminifu ukienda home na yeye anakuwa na masharubaro wake

4

6

7
 
So Bishanga unataka uzidi kumshauri ang'ang'ania nyumba ndogo asiachane nazo au
Maana huo uzi wa The Boss unatoa guide wakati yeye anataka kuacha
s
 
Nduka,

Umenifurahisa sana aisee,

Yaani unataka nyumba ndogo iwe kama kubwa???...Sasa kwa nini hukuamua tokea mwanzo uoe kabisa mke wa pili. wa tatu na hata wa kumi ili mradi iwe official??

Ila kama hayo umeyagundua leo basi....msg sent....You are just at the beginning of your love career!!

Babu DC!!
 
umeamua uamuzi wa busara. Wewe ndo mwanaume wa ukweli. Piga chini nyumba ndogo zote.
 
wewe, na huu ubeijing wooote majumbani, ........................ukiacha nyumba ndogo utasurvive vipi??..................... au wewe mwenzetu kwako ubeijing haujabisha hodi??....................

aaagh, sorry...................... kumbe ulisema walio owa tu???..........................
 
Jamani mimi mwenzenu nimeamnua kuachana kabisa na mambo ya nyumba ndogo kwani sioni faida yake dhidi ya hasara. hapa chini ni sababu zilizopelekea mimi kuchukua maamuzi haya magumu.

1. Gharama - Wanatumia pesa nyingi kiliko mke wako na watoto

2. Magonjwa - Ndio chanzo cha kuleta magonjwa nyumbani

3. Umalaya - Wengi siyo waaminifu ukienda home na yeye anakuwa na masharubaro wake

4

6

7

Wewe siyo mwenzetu from the very beginning.... tangu lini nyumba ndogo ni kitu kizuri??????????
 
4. Ni warejesha amani sana kwenye nyumba kubwa.
5. Hufanya nyumba kubwa kuwa na adabu.
 
Jua wazi hukuwa mwanajeshi
Ulikuwa mgambo wa jiji
Tena bora ujitoe kwenye chama
Ungetuharibia sifa bure

Tbagu lini nyumba ikafikia matumizi nyumba kubwa???
 
So Bishanga unataka uzidi kumshauri ang'ang'ania nyumba ndogo asiachane nazo au
Maana huo uzi wa The Boss unatoa guide wakati yeye anataka kuacha
s
Mkuu,keshaonja asali huyu hawezi kuacha,bora afuate mwongozo wa The Boss ili ndoa yake iwe salama.
 
Back
Top Bottom