Kwa wanaume walio owa

Nduka,

Umenifurahisa sana aisee,

Yaani unataka nyumba ndogo iwe kama kubwa???...Sasa kwa nini hukuamua tokea mwanzo uoe kabisa mke wa pili. wa tatu na hata wa kumi ili mradi iwe official??

Ila kama hayo umeyagundua leo basi....msg sent....You are just at the beginning of your love career!!

Babu DC!!

Me loving this sanaa!..Mzee DC mwenyeweee!
 
4. Mungu ameharamisha zinna. Kama unajiamini kuwa una uwezo kimwili na kimazingira bora uowe wa2, wa3 au wa4. Lakini kwa kumogopa mungu owa mmoja na huu ndiyo uchamungu.
 
Ni dawa ya pressure aisee.

Yani tena usirudie, mshukuru Mungu kwa kukupa hiyo akili, kimbia sana katunze mkeo na wanao, yani usiangalie nyuma usijegeuka mnara wa chumvi na Mungu atakusamehe, ila ndo hivyo ukirudi ndo mwisho wako.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom