Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,325
- 16,594
Fanya hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwehu wewe
Niko tu hapa kijiweni muda huu na masela navuta bangi hamna cha maana nafanya
Fanya hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwehu wewe
Sasa ulitaka swaga mpya wakupe za kuhongwa nini endelea kusubiri mirejesho🤣🤣Jamani.
Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.
Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika andika vicaption vya falsafa nyingi kama wanasomea phd ila vitendo asilimia kubwa ni sifuri.
Kwa Yoyote atakayeweza kunitongoza namkaribisha PM.
Nitakuja na mrejesho wapenzi.
Uwe na swaga.
Usiku mwema[emoji26]
View attachment 2786733
MREJESHO.
Hadi muda huu wapenzi wangu wa jf nimeweza kupokea PM kama 50+ kweli nimeendelea kulithibitisha nilisemalo.
Micheke mie[emoji23][emoji23]
Jf man man swaga za kizamani kweli.
Ebu nione itakavyoishia.
PM sinusi kizembe namna hiiNyie hali ngumu Pm kumekauka
Mmeamua mje na I’d mupya 😂😂😂
Haya mabro mnaitwa piemuni Extrovert Glenn ERoni Shimba ya Buyenze Half american Mpaji Mungu na wengine wote
Abee mambo?Mama
Mmh naona kundi sasa limeingiliwa na mabazaziJamani.
Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.
Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika andika vicaption vya falsafa nyingi kama wanasomea phd ila vitendo asilimia kubwa ni sifuri.
Kwa Yoyote atakayeweza kunitongoza namkaribisha PM.
Nitakuja na mrejesho wapenzi.
Uwe na swaga.
Usiku mwema[emoji26]
View attachment 2786733
MREJESHO.
Hadi muda huu wapenzi wangu wa jf nimeweza kupokea PM kama 50+ kweli nimeendelea kulithibitisha nilisemalo.
Micheke mie[emoji23][emoji23]
Jf man man swaga za kizamani kweli.
Ebu nione itakavyoishia.
Acha uogaPM sinusi kizembe namna hii
Ms eyesAbee mambo?
Abee, una jina la mshua wangu aiseeMs eyes
hahaha kwaiyo mimi boss wako au vipi tuishi humo🤣Abee, una jina la mshua wangu aisee
Mshua mkali sanaa😎hahaha kwaiyo mimi boss wako au vipi tuishi humo🤣
Dume Mwenye element za kikeAlafu unaweza kuta we ni dume
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safi, nimependa hujui kujivunga mdau. Tuwekee na bei kabisa.....
Kumbe hii ndio tofauti yetu Mimi mbn sio mkari ndio kwanza naanza kunyapiaMshua mkali sanaa😎
Poa tuAbee mambo?
Sina huo mpango[emoji23][emoji23][emoji23] wewe huyo?
Itakuwa umezama kwa I’d nyingine cazee
Yeah sasa hapo kwenye too galish ndipo inapotia hasira sana na kinyaa. Wawaige gays wa mbele mikato ya kiume lakini kumbe anapumuliwa kisogoniWanakaz Sana wadau..... Kibaya wanakuwa too galish...... Bora ata likazee aan blch mapiko piko khaaiiii
Hali si shwarii jirani 😂😂😂😂😂😂😂Nyie hali ngumu Pm kumekauka
Mmeamua mje na I’d mupya 😂😂😂
Haya mabro mnaitwa piemuni Extrovert Glenn ERoni Shimba ya Buyenze Half american Mpaji Mungu na wengine wote
Mbona hivyo jamani... muende mkamwage sera😂😂😂Weka picha, hatununui mbuzi kwenye gunia. Na useme hali yako kiuchumi maana na sisi hela zetu zina kazi pia
I am too old for that shit! 🚮Nyie hali ngumu Pm kumekauka
Mmeamua mje na I’d mupya 😂😂😂
Haya mabro mnaitwa piemuni Extrovert Glenn ERoni Shimba ya Buyenze Half american Mpaji Mungu na wengine wote