Kwa wanaume wa JF

Kwa wanaume wa JF

Sisi haituhusu na kwanini atuletee mambo ya kike???[emoji1787]

Wewe ingia PM vuta chuma hiko
Ukikuta jinsia "ME" tupe taarifa tutakushikia miguu kwa nguvu na utaingiza popote hata puani maana si ameyataka mwenyewe,utamtia make-up za kutosha avutie kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa nusu niangushee cm,
Waja mmeamua leo,
 
MREJESHO.

guyz hadi ninapoandika muda huu,kwenye pm yangu Ina watu 30 humu kwenye comments wanajiongelesha ongelesha[emoji13][emoji13]

Ila kinaendelea vizuri wapenzi wangu soon I will come to give a feedback[emoji5][emoji5]

Kiukweli jf man ni vichomi.

Nicheke mie[emoji23][emoji23][emoji26]
 
sasa kama wewe si nakamata mkono tu hadi magetoni nafanya yangu na kwa wema tu nakuachia teni tunasambaaaaa .......

habar ya kutongoza kwan bado iko?
Njoo uone kujisifia tu kwa comments section[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halfu mijianaume ya jf haijui hata kutongoza mtu a nakuja na swaga ya kunipa hela nani kamwambia mm nina njaa.
 
Ndiyo, wala sio mwanaume. Ni demu mzuri sana kanipa namba nimeicheck jina na whatsapp. She's beautiful

Tatizo mm sasa hivi nipo committed na my baby. Lakini ukweli yupo vizuri sana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe wachuze wenzio wenye uchu wakapigwe na kitu kizito uko
 
Back
Top Bottom