Kwa wanaume tuu.... Ushauri wenu tafadhali

mdoe

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
433
102
Kuna mabinti wawili, A na B.

A ana sifa zifuatazo.
1. Ni mchapakazi, anapenda sana maendeleo
2. Anajali kiasi, na ni mwaminifu sana katika mahusiano.
3. Ni mzuri kiasi. ( putting everyting together)
4. Kwenye mapenzi hayupo sana. (mnaweza mkakaa hata miezi 6 bila kuduu na haulizi, ila ukitaka anakupa na sio mtundu kabsa)
5. Unaaweza usimfurahie sana mkitoka wote out.

in short, kwenye maendeleo ni 90%, kwenye mapenzi ni 10%.

B. ana sifa zifuatazo.
1. Hayuko serious sana na Maisha. (sio mtafutaji kiviile)
2. Hajali sana, na katika mahusiano ni kaugonjwa kamoyo kama unamfuatilia.
3. Ni mzuri kuzidi A.
4. Kwenye mapenzi yuko juu sana. Anajua nini mwanaume anataka katika tasnia ya mapenzi.
5. Anavutia sana kutoka nae out coz ni mcheshi, na mtundu sana.

Inshort, kwenye maendeleo ni 30%, kwenye mapenzi ni 70%.

Mtu yuko njiapanda. Maendeleo katika familia au furaha katika maisha??

ushauri tafadhali.
 
Kwangu mimi A ni mzuri sana,huyo B ni presha kwa maisha ya sasa ina maana ukikwama jua kwamba anaweza kukuumiza.
 
Na hiyo ndio hofu pekee aliyonayo. Ila, anapenda sana kuwa na B na anahisi akitetereka kiuchumi, B atamtosa.
 
Kuna mabinti wawili, A na B.

A ana sifa zifuatazo.
1. Ni mchapakazi, anapenda sana maendeleo
2. Anajali kiasi, na ni mwaminifu sana katika mahusiano.
3. Ni mzuri kiasi. ( putting everyting together)
4. Kwenye mapenzi hayupo sana. (mnaweza mkakaa hata miezi 6 bila kuduu na haulizi, ila ukitaka anakupa na sio mtundu kabsa)
5. Unaaweza usimfurahie sana mkitoka wote out.

in short, kwenye maendeleo ni 90%, kwenye mapenzi ni 10%.

B. ana sifa zifuatazo.
1. Hayuko serious sana na Maisha. (sio mtafutaji kiviile)
2. Hajali sana, na katika mahusiano ni kaugonjwa kamoyo kama unamfuatilia.
3. Ni mzuri kuzidi A.
4. Kwenye mapenzi yuko juu sana. Anajua nini mwanaume anataka katika tasnia ya mapenzi.
5. Anavutia sana kutoka nae out coz ni mcheshi, na mtundu sana.

Inshort, kwenye maendeleo ni 30%, kwenye mapenzi ni 70%.

Mtu yuko njiapanda. Maendeleo katika familia au furaha katika maisha??

ushauri tafadhali.

hUYO MAN NI UNDER 18?AKILI MUKICHWA!
 
Namshauri mchague A sababu mambo yamapenzi unaweza mkafundishana na kumjenga kisaikolojia akawa kwenye njia yenyewe kuliko huyo kicheche B
 
Huu ujumbe naufikisha kama ulivyo. Ngoja ni print kabisa. ctaki kuchakachua.

Kweli kabisa Dada Mkuu,

Mie wangu ni A,

Haya mazaga zaga ya B, C na D naweza kuyapata kwa malipo ya papo kwa papo au mkopo!!

Babu DC!!
 
Kuna mabinti wawili, A na B.

A ana sifa zifuatazo.
1. Ni mchapakazi, anapenda sana maendeleo
2. Anajali kiasi, na ni mwaminifu sana katika mahusiano.
3. Ni mzuri kiasi. ( putting everyting together)
4. Kwenye mapenzi hayupo sana. (mnaweza mkakaa hata miezi 6 bila kuduu na haulizi, ila ukitaka anakupa na sio mtundu kabsa)
5. Unaaweza usimfurahie sana mkitoka wote out.

in short, kwenye maendeleo ni 90%, kwenye mapenzi ni 10%.

B. ana sifa zifuatazo.
1. Hayuko serious sana na Maisha. (sio mtafutaji kiviile)
2. Hajali sana, na katika mahusiano ni kaugonjwa kamoyo kama unamfuatilia.
3. Ni mzuri kuzidi A.
4. Kwenye mapenzi yuko juu sana. Anajua nini mwanaume anataka katika tasnia ya mapenzi.
5. Anavutia sana kutoka nae out coz ni mcheshi, na mtundu sana.

Inshort, kwenye maendeleo ni 30%, kwenye mapenzi ni 70%.

Mtu yuko njiapanda. Maendeleo katika familia au furaha katika maisha??

ushauri tafadhali.
lol! huyo A coz hayo ya mapenzi na ucheshi atamtengeneza tu na ataweza labda na yy awe hajui hayo mambo ya mapenzi.
 
Na hiyo ndio hofu pekee aliyonayo. Ila, anapenda sana kuwa na B na anahisi akitetereka kiuchumi, B atamtosa.

Fanya makosa mengine lakini usifanye kosa kwenye kuoa/kuolewa,itakuvurugia future nzima,ingawa watu huwa wanasema wako wengi me naona kama ni upotoshaji tu.
 
Note: Maendeleo katika familia huleta furaha katika maisha. Fikiria una furaha katika maisha, ghafla unaumwa au mwanafamilia akaugua na kwa kuwa wewe siku zote ni kujirusha tu, hata akiba huweki ina maana utashindwa kwenda au kumpeleka hospitali matokeo yake furaha katika maisha itatoweka. Lakini kama una maendeleo, hata kama mfukoni hakuna senti ni rahisi kukopesheka si una rasilimali bana. ...Tafakari........ Chukua hatua...
 
Kuna mabinti wawili, A na B.

A ana sifa zifuatazo.
1. Ni mchapakazi, anapenda sana maendeleo
2. Anajali kiasi, na ni mwaminifu sana katika mahusiano.
3. Ni mzuri kiasi. ( putting everyting together)
4. Kwenye mapenzi hayupo sana. (mnaweza mkakaa hata miezi 6 bila kuduu na haulizi, ila ukitaka anakupa na sio mtundu kabsa)
5. Unaaweza usimfurahie sana mkitoka wote out.

in short, kwenye maendeleo ni 90%, kwenye mapenzi ni 10%.

B. ana sifa zifuatazo.
1. Hayuko serious sana na Maisha. (sio mtafutaji kiviile)
2. Hajali sana, na katika mahusiano ni kaugonjwa kamoyo kama unamfuatilia.
3. Ni mzuri kuzidi A.
4. Kwenye mapenzi yuko juu sana. Anajua nini mwanaume anataka katika tasnia ya mapenzi.
5. Anavutia sana kutoka nae out coz ni mcheshi, na mtundu sana.

Inshort, kwenye maendeleo ni 30%, kwenye mapenzi ni 70%.

Mtu yuko njiapanda. Maendeleo katika familia au furaha katika maisha??

ushauri tafadhali.

mkuu ni rahisi sana mchukue A kama nyumba kubwa na B small house..
 
Back
Top Bottom