Kwa wanaume tu.

Kwa wanaume tu.

KUNGURUHAFUGIKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
346
Reaction score
74
Habari wakuu wote, nimejaribu kuwa karibu sana na wadada lengo ni kuwasoma tabia na kujua nani anaweza kuwa mke mwema baadaye lakini naona sipati mke sahihi kwani ninapojenga urafiki haipiti wiki wamekuwa wakijilengesha kwangu na mimi naitaji muda wa kutosha kuwasoma zaidi nifanye nini wakuu au nyinyi mnafanyeje ili kuwajua zaidi, kwa kweli napata wakati mgumu nishaurini wakuu .
 
It take a minute to love someone a day to know a person. Kidding after all l am not a man.

Ila on the serious note, get a wife from among your female friends. Shida mnatafuta miss universe, anapika like your mom, mwenye tabia za saint teressa, charming like snowhite, busara kama AshaDii, akili kama EMT, mshairi kama Rutashubanyuma etc in just one person.
 
Last edited by a moderator:
wee ni msafi kvile?

Na utapataje mke mwema wakati umezungukwa na vicheche.

Ni sawa na kutafuta urani kwenye greenstone belt.
 
Kaunga Dearest... I am humbled.

Kwa mleta mada; KUNGURUHAFUGIKI, Naomba nikuambie kuwa pamoja na mabadiliko na kushuka kwa maadili ambayo yamefanya mabinti wengi wawe na tabia ambazo sizo kwa sifa ya kuwa mke (as it is to men) - Bado mabinti wanao stahili na wana sifa za utulivu... Mabinti ambao hata wakikupenda wana staha na hawezi thubutu kujitongozesha kwako.

Kama kweli unakua karibu na mabinti ambao si muda mrefu wanajilengesha hapo ina maana tatizo lipo kwako wewe na siyo kwa mabinti. HUWEZI ukaweka mazoea na binti ambae anaonekana wazi anapendelea kula maisha (tena mara nyingi huwa ndiyo wale warembo wadada wa mujini ingawa si wote) alafu ukategemea kuwa hatajilengesha na hali pengine wewe unaonekana wa kujikimu na una uwezo wa kumpa atakavyo.

Tuliza akili, jitazame na tazama aina ya wanawake wanakuvutia... Then utajua unakosea wapi. Ukituliza akili utashangaa kuona pengine mwanamke anaefaa kuwa mke wako wala hata hayupo mbali, ni wa karibu wako, wamfahamu ila wamchukulia easy pengine kwa kutokuwa na wasifu wa nje unaotaka wewe. Hata hivyo kila la kheri... Maana mke ndiyo hujenga nyumba na familia.
 
simanishi mi msafi, unajua unapotaka kumjua mtu unatakiwa kutumia muda mrefu kujua tabia zake , lakini napata wakati mgumu nifanyeje ? Niepukane na vicheche?
 
Habari wakuu wote, nimejaribu kuwa karibu sana na wadada lengo ni kuwasoma tabia na kujua nani anaweza kuwa mke mwema baadaye lakini naona sipati mke sahihi kwani ninapojenga urafiki haipiti wiki wamekuwa wakijilengesha kwangu na mimi naitaji muda wa kutosha kuwasoma zaidi nifanye nini wakuu au nyinyi mnafanyeje ili kuwajua zaidi, kwa kweli napata wakati mgumu nishaurini wakuu .

Kwa kuwa mzee lengo ni kuwasoma, acha waendelee kujilengesha maana hiyo inakusaidia kuwa disqualify mmoja hadi mwingine mpaka mwisho wa siku utampata yule uliyekuwa unamtafuta .... Ila hii nayo si njia sahihi sana maana si wote wenye tabia nzuri hupenda kujenga mazoea ya ukaribu sana na wanaume!
 
kama unataka urani tembelea maeneo ya karoo, sasa wee kwenye migranite unatafuta nini?

simanishi mi msafi, unajua unapotaka kumjua mtu unatakiwa kutumia muda mrefu kujua tabia zake , lakini napata wakati mgumu nifanyeje ? Niepukane na vicheche?
 
Kujilengesha peke yake si kigezo sahihi kwamba huyo mwanamke hafai kuwa mke! Tatizo lako ni kwamba wewe ni Kunguru, ukiona mwanadamu anainama, unazani anaokota jiwe!
 
simanishi mi msafi, unajua unapotaka kumjua mtu unatakiwa kutumia muda mrefu kujua tabia zake , lakini napata wakati mgumu nifanyeje ? Niepukane na vicheche?
Nia pekee ya kumfahamu mtu vizuri ni kuwa karibu yake zaidi...sasa sijui ni nini hapo unachokwepa!
 
unachunguza chunguza nini. wewe fbi?
ukiomba unapewa ,kama ulikuwa hutaki unabeep nini?
halafu utakuja kudanganyika vibaya wewe,hujui tu wanawake!
Hajakutana na totoz full mapozi kumbe wakati ni full balaa!!
 
ukweli Kaunga umenena wala si povu umemwaga
wanaume kuchagua ndio jadi yetu
mwanamke bora nani amjuae
si kama mama yangu ila awe na stamina
sio tu kitandani napo jikoni pia
wa leo wapambana na makungwi nacho kibao kata
kukatika pekee haitoshi ndo sio uroda pekee
It take a minute to love someone a day to know a person. Kidding after all l am not a man.

Ila on the serious note, get a wife from among your female friends. Shida mnatafuta miss universe, anapika like your mom, mwenye tabia za saint teressa, charming like snowhite, busara kama AshaDii, akili kama EMT, mshairi kama Rutashubanyuma etc in just one person.
 
Nyumba na mali ni vitu;
Apata mke kwa babaye,
Bali mke mwenye busara,
Mtu hupewa na Bwana.

Mke mwema haombwi; hachunguzwi, haonjwi, si wa kumdadisi, ni wa kupewa tu na Bwana Mungu (Jehovah) wa majeshi.
 
Habari wakuu wote, nimejaribu kuwa karibu sana na wadada lengo ni kuwasoma tabia na kujua nani anaweza kuwa mke mwema baadaye lakini naona sipati mke sahihi kwani ninapojenga urafiki haipiti wiki wamekuwa wakijilengesha kwangu na mimi naitaji muda wa kutosha kuwasoma zaidi nifanye nini wakuu au nyinyi mnafanyeje ili kuwajua zaidi, kwa kweli napata wakati mgumu nishaurini wakuu .

wao unawasoma na wenyewe wameshakustukia kuwa unahitaji mke ndo maana wanajirengesha sasa tatizo lipo wapi?
 
Kaunga Dearest... I am humbled.

Kwa mleta mada; KUNGURUHAFUGIKI, Naomba nikuambie kuwa pamoja na mabadiliko na kushuka kwa maadili ambayo yamefanya mabinti wengi wawe na tabia ambazo sizo kwa sifa ya kuwa mke (as it is to men) - Bado mabinti wanao stahili na wana sifa za utulivu... Mabinti ambao hata wakikupenda wana staha na hawezi thubutu kujitongozesha kwako.

Kama kweli unakua karibu na mabinti ambao si muda mrefu wanajilengesha hapo ina maana tatizo lipo kwako wewe na siyo kwa mabinti. HUWEZI ukaweka mazoea na binti ambae anaonekana wazi anapendelea kula maisha (tena mara nyingi huwa ndiyo wale warembo wadada wa mujini ingawa si wote) alafu ukategemea kuwa hatajilengesha na hali pengine wewe unaonekana wa kujikimu na una uwezo wa kumpa atakavyo.

Tuliza akili, jitazame na tazama aina ya wanawake wanakuvutia... Then utajua unakosea wapi. Ukituliza akili utashangaa kuona pengine mwanamke anaefaa kuwa mke wako wala hata hayupo mbali, ni wa karibu wako, wamfahamu ila wamchukulia easy pengine kwa kutokuwa na wasifu wa nje unaotaka wewe. Hata hivyo kila la kheri... Maana mke ndiyo hujenga nyumba na familia.
Wanawake wa mji huu..Wana uongo kuliko Dibaji kwenye Kamusi ya Ibilisi,wanajua kukuchota akili balaa,ilimradi uingie kwenye 18 uoe...Ukimtokea anajifanya kama vile we ndo Mwanaume wake wa Pili,wa kwanza wa shule ya msingi we ndo wa pili..Ukimuuliza Hobby zake utamsikia,''Uum,halafu analamba Lips,napenda kusoma Biblia...,Napenda kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti,Napenda kufundisha watoto Sunday School,napenda nyimbo za Bahati Bukuku na kucheza na watoto,yaani I love sana Babies''
Basi ataji-position utajiona una bahati umekutana na wadogo zake bikira maria waliobakia Tanzania, utajua umeokota Embe dodo chini ya mti wa mpera..Mkitoka Outing anavaa mgauni mrefu kama Shemasi wa Parokia ya Sinza ukimuuliza unakunywa nn utamsikia,'naomba maji ya Dasani please'...Umetegwa Baba!Ni Kiruka njia mtakatifu,Mlevi mkubwa,yuko bize Usiku kama Kigofu cha Polisi kinasaka Wazururaji kuanzia Tegeta mpaka Black Tomato anajulikana,anavaa visketi vifupi kama Kibwaya ukiwa haupo..Ila kwako anakuektia mzee unatangaza ndoa,kasheshe ukifika nae ndani sasa ndo unakuta Gypsum hadi chooni,Sebule kama uwanja wa Taifa,hapo ndo utajua umeoa Dalali!
source ...seth
 
Back
Top Bottom