Kwa wanaume tu.

Kwa wanaume tu.

Ndugu, suala la "mke mwema" sio complex kiasi hicho, asikutishe mtu. Na usitishike na uwepo wa "vicheche" wengi wanaojulikana kama "habari ya mujini". Wapo mabinti wazuri na wenye maadili mema wengi tu, issue hapa ni personal priorities, yaani wewe unataka aweje has maana hata hayo maadili yanatofautiana. Jambo la msingi sana ninalokushauri ndugu ni kuwa mshirikishe Mungu katika suala hili maana hakika nakuambia hutampata anayefaa kwa kutumia macho tu maana mtu mwenyewe ni yule aliye ndani yake, sio urembo au umbo vitu ambavyo kimsingi havina maana kabisa linapokuja suala la mwenzi wa maisha. Amini usiamini mahusiano ya mume na mke huegemea zaidi nguzo ya maadili mema, hekima, uvumilivu (kuchukuliana) na heshima kuliko sura au umbo la mtu ambalo halina mchango wowote katika kuifanya ndoa iwe poa au la. So, take time -mambo haya hayataki haraka kiivyo vingenevyo utapata hata kahaba aliyevaa mavazi ya "wenye maadili" tu then baadae bomu linalipuka. Pray and act men!

nashukuru mkuu kwa ushauri wako
 
Hapo ndo wanaume mnapochemkaga lolz... Yani umri ukifika wa kuoa ndo unatafuta wa kumuoa.. Huko nyuma kote unakuta unaanzisha mahusiano yasiyo na tija.. Bora liende ili mradi papuchi unapewa.

Kwanini uwe na rafike wa kike ambaye from day one unajua huyu sina future nae au hanifai???
Wakati wote ni vyema kuwa na mahusiano yenye malengo positive..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Smile unaua.. Eti umeoa dalali..
Sebule kama uwanja wa taifa na kuna uwanja mkubwa tu unaweza jengewa chumba cha pili..


Kuchagua chagua sana utapata koroma,,, kama unavyosema kuna muda unajilipua tu,

mbona ya kujiripua ni hatari sana unaweza ukaoa ukawa una acha kila siku.
 
Back
Top Bottom