Wanawake wa mji huu..Wana uongo kuliko Dibaji kwenye Kamusi ya Ibilisi,wanajua kukuchota akili balaa,ilimradi uingie kwenye 18 uoe...Ukimtokea anajifanya kama vile we ndo Mwanaume wake wa Pili,wa kwanza wa shule ya msingi we ndo wa pili..Ukimuuliza Hobby zake utamsikia,''Uum,halafu analamba Lips,napenda kusoma Biblia...,Napenda kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti,Napenda kufundisha watoto Sunday School,napenda nyimbo za Bahati Bukuku na kucheza na watoto,yaani I love sana Babies''
Basi ataji-position utajiona una bahati umekutana na wadogo zake bikira maria waliobakia Tanzania, utajua umeokota Embe dodo chini ya mti wa mpera..Mkitoka Outing anavaa mgauni mrefu kama Shemasi wa Parokia ya Sinza ukimuuliza unakunywa nn utamsikia,'naomba maji ya Dasani please'...Umetegwa Baba!Ni Kiruka njia mtakatifu,Mlevi mkubwa,yuko bize Usiku kama Kigofu cha Polisi kinasaka Wazururaji kuanzia Tegeta mpaka Black Tomato anajulikana,anavaa visketi vifupi kama Kibwaya ukiwa haupo..Ila kwako anakuektia mzee unatangaza ndoa,kasheshe ukifika nae ndani sasa ndo unakuta Gypsum hadi chooni,Sebule kama uwanja wa Taifa,hapo ndo utajua umeoa Dalali!
source ...seth