Kwa wanaume tu

koncho77

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
5,570
Points
2,000
koncho77

koncho77

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
5,570 2,000
*MWANAUME USIMWACHIE MKEO HELA CHUMBANI*
MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE
NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI
*MWANAUME*
Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani,
Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula,
Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu
Mle Nimewapikia Chakula Kitamu, Watoto
wakishakula Wanasema Asante Mama.
*MWANAUME*
Unamwachia Mkeo hela ya Nguo za Sikukuu
Chumbani,
Kesho Yake mkeo Anatoka kwenda Kununua
Nguo, Akirudi Anawaambia Wanangu
Nimewanunulia Nguo za Sikukuu Njooni Mjipimie,
Watoto Wakishajipima, Anawaambia Wanangu
Mmependeza Eeee, Simnaona Ninavyowapenda
Watoto wanafurahi na Kusema Asante Mama,
*MWANAUME*
Kila Aina ya Pesa ya Matumizi Unamwachia
Mkeo Hela Chumbani,
*MWANANUME*
Ukifika muda wa kutoa Ada Unamkabidhi Mkeo
Hela Chumbani,
Kesho yake Mkeo Anawaambia Watoto kuwa
Anaenda kuwalipia Ada ya Shule, Akirudi
Anawaambia Wananhu nimeshawalipia Ada, Na
gari za Shule Zitakua Zinawapitia, Nataka Msome
Wanangu ili Baadae Mje Mnitunze, Watoto
Wanasema Asante Mama.
*KIBAYA ZAIDI*
Ukifika muda wa kutoa Adhabu, Mkeo yeye hatoi
Adhabu, Anawaambia Watoto, Ngoja Babayenu
Arudi, Nawewe Ukirudi Unaelezwa na Mkeo
matatizo ya Wanao, Unachukua Bakora
Unawaadhibu Watoto, Bila kujua kuwa Unazidi
Kujenga Uhusiano M'BAYA na Wanao.
*NGUMU KUMEZA*
Ukifika Uzeeni, Watoto wako Hawana
*KUMBUKUMBU* Yoyote Ya mema uliowafanyia.
*MWANAUME KUWA MAKINI SANA*
*_ZINGATIA HAYO KWA MAISHA YA UZEENI_*
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
12,048
Points
2,000
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
12,048 2,000
Zilipendwa, kwanini una duplicate mabandiko ambayo yapo humu?
 
Stopper3

Stopper3

Senior Member
Joined
Sep 1, 2019
Messages
102
Points
250
Stopper3

Stopper3

Senior Member
Joined Sep 1, 2019
102 250
Yaani unata ushindane na mkeo?
 
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
3,995
Points
2,000
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
3,995 2,000
*MWANAUME USIMWACHIE MKEO HELA CHUMBANI*
MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE
NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI
*MWANAUME*
Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani,
Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula,
Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu
Mle Nimewapikia Chakula Kitamu, Watoto
wakishakula Wanasema Asante Mama.
*MWANAUME*
Unamwachia Mkeo hela ya Nguo za Sikukuu
Chumbani,
Kesho Yake mkeo Anatoka kwenda Kununua
Nguo, Akirudi Anawaambia Wanangu
Nimewanunulia Nguo za Sikukuu Njooni Mjipimie,
Watoto Wakishajipima, Anawaambia Wanangu
Mmependeza Eeee, Simnaona Ninavyowapenda
Watoto wanafurahi na Kusema Asante Mama,
*MWANAUME*
Kila Aina ya Pesa ya Matumizi Unamwachia
Mkeo Hela Chumbani,
*MWANANUME*
Ukifika muda wa kutoa Ada Unamkabidhi Mkeo
Hela Chumbani,
Kesho yake Mkeo Anawaambia Watoto kuwa
Anaenda kuwalipia Ada ya Shule, Akirudi
Anawaambia Wananhu nimeshawalipia Ada, Na
gari za Shule Zitakua Zinawapitia, Nataka Msome
Wanangu ili Baadae Mje Mnitunze, Watoto
Wanasema Asante Mama.
*KIBAYA ZAIDI*
Ukifika muda wa kutoa Adhabu, Mkeo yeye hatoi
Adhabu, Anawaambia Watoto, Ngoja Babayenu
Arudi, Nawewe Ukirudi Unaelezwa na Mkeo
matatizo ya Wanao, Unachukua Bakora
Unawaadhibu Watoto, Bila kujua kuwa Unazidi
Kujenga Uhusiano M'BAYA na Wanao.
*NGUMU KUMEZA*
Ukifika Uzeeni, Watoto wako Hawana
*KUMBUKUMBU* Yoyote Ya mema uliowafanyia.
*MWANAUME KUWA MAKINI SANA*
*_ZINGATIA HAYO KWA MAISHA YA UZEENI_*
hata mama naye itabidi azae mbele Ya watoto wake ili watoto waone kwamba mama yetu katuzaa na anaendelea kuzaa.

muhimu ni kuwapenda watoto wenu wewe na mke. mkianza kuweka ligi nani apnekane bora kwa watoto mwishowe watoto wataona nyie sio wazzi ni wahuni flani hivi.

mimi nikirudi nyumbani alafu mke wangu aniambie eti mwanao kafanya hivi na hivi mchape mimi namjibu "nampenda sana mwanangu Anawezakuelew hata bila kuchapwa si esi mwanangu ? akiitikia na kunikumbatia hapo nimemuangusha mama yake"

mtoto akidai mahitaji kwako umuambie "ntampamama yako baadae akupe sawa eenh ?
atajua kuwa psa katoa baba kupitia mama.

wazazi lazima muwe na privacy zenu kama wawili sio mpaa pesa ya chai unatoa mbele ya mtoto.

mtoto anahitaji mapenzi zaidi.

"kama amabvyo unampa mwanao kile ambacho hukuwahi kumpa basi vile vileunatakiwa umfunze kile ambacho hukuwahi kumfunza"

upendo na mafunzo ya baba kwamtoto yanabakia ndani ya mioyo yao lakini hivyo vipesa ni mambo ya kupita tu.
 
Chakorii

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,953
Points
2,000
Chakorii

Chakorii

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,953 2,000

Mkuu popote ulipo agiza kinywaji chochote nakuja kulipa.asante mnooo kuna kitu umenifunza.😚😚😚
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
33,011
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
33,011 2,000
Wanaume tumeumbiwa mateso, kuhangaika...

Cc: mahondaw
 
HAMIS MOHAMED

HAMIS MOHAMED

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
365
Points
225
HAMIS MOHAMED

HAMIS MOHAMED

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
365 225
LOGICAL TEXT. bill the a drink and pay yourself
 
Karma

Karma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
7,604
Points
2,000
Karma

Karma

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
7,604 2,000
Nimecheka hiyo aya ya kwanza ila umeongea ukweli mkuu wajifunze kutoka kwa yule mcheza mpira Dele Alli wa Tottenham Hotspur baba yake ni nigerian na mama yake ni english ila wameishi sana nigeria na baba yake alikuwa ni tajiri mkubwa sana kule huyo kijana toka anakuwa alikuwa ananunuliwa kila anachotaka na aliwekewa wafanyakazi zaidi ya sita wa kumhudumia yeye tu ila wazazi wake hawakuwa na muda wa kukaa naye karibu na kuongea naye kuhusu maisha

Matokeo yake leo hii huyo kijana hapatani na wazazi wake kabisa na hata kwenye jezi yake hatumii jina la ukoo wa baba yake kama wachezaji wengine wengi wanavyofanya anatumia jina lake Dele na anasema sababu ni kwamba tangu mdogo walikuwa wakimpa pesa zao lakini hawakuwa wakimpa muda wao hivyo akawa anatunza moyoni na ndiyo anawalipizia leo hii hana muda na wazazi wake kabisa

Japo nao walishaachana baba yuko nigeria mama yuko england ila wote anawachukia wakitaka kuonana naye anawakwepa na wamejaribu kumuomba msamaha ila amekataa japo sijajua kwa sasa wamefikia wapi kama kawasamehe au bado ana kinyongo nao ila haya mambo yapo wazazi wengi wa kiafrika hasa kina baba wanadhani wakishatoa hela basi wamemaliza kazi kumbe hawajui kwamba watoto wanahitaji muda wa kukaa na wazazi wao wote wawili

Sasa unakuta baba hana muda na watoto halafu bado ni mkali kiasi kwamba inafikia hatua akirudi kutoka kazini akipiga honi au akigonga mlango watoto wakijua ni yeye kama walikuwa sebuleni basi wote wanakimbilia vyumbani yaani wanamuogopa kama simba lakini cha kushangaza kina baba wengi wanaona fahari kuogopewa kama hivyo ila wakija kutoswa uzeeni ndiyo wanakuja na malalamiko kama haya yaani mtu anapanda kwenye shamba la hekari 1 halafu anategemea aje kuvuna kwenye shamba la hekari 100 sasa hizo hekari nyingine 99 anazikuta wapi kwa mfano yaani kina baba wengi wakae wakijua tu kuwa watavuna walichopanda hamna namna
hata mama naye itabidi azae mbele Ya watoto wake ili watoto waone kwamba mama yetu katuzaa na anaendelea kuzaa.

muhimu ni kuwapenda watoto wenu wewe na mke. mkianza kuweka ligi nani apnekane bora kwa watoto mwishowe watoto wataona nyie sio wazzi ni wahuni flani hivi.

mimi nikirudi nyumbani alafu mke wangu aniambie eti mwanao kafanya hivi na hivi mchape mimi namjibu "nampenda sana mwanangu Anawezakuelew hata bila kuchapwa si esi mwanangu ? akiitikia na kunikumbatia hapo nimemuangusha mama yake"

mtoto akidai mahitaji kwako umuambie "ntampamama yako baadae akupe sawa eenh ?
atajua kuwa psa katoa baba kupitia mama.

wazazi lazima muwe na privacy zenu kama wawili sio mpaa pesa ya chai unatoa mbele ya mtoto.

mtoto anahitaji mapenzi zaidi.

"kama amabvyo unampa mwanao kile ambacho hukuwahi kumpa basi vile vileunatakiwa umfunze kile ambacho hukuwahi kumfunza"

upendo na mafunzo ya baba kwamtoto yanabakia ndani ya mioyo yao lakini hivyo vipesa ni mambo ya kupita tu.
 
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
3,995
Points
2,000
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
3,995 2,000
Nimecheka hiyo aya ya kwanza ila umeongea ukweli mkuu wajifunze kutoka kwa yule mcheza mpira Dele Alli wa Tottenham Hotspur baba yake ni nigerian na mama yake ni english ila wameishi sana nigeria na baba yake alikuwa ni tajiri mkubwa sana kule huyo kijana toka anakuwa alikuwa ananunuliwa kila anachotaka na aliwekewa wafanyakazi zaidi ya sita wa kumhudumia yeye tu ila wazazi wake hawakuwa na muda wa kukaa naye karibu na kuongea naye kuhusu maisha

Matokeo yake leo hii huyo kijana hapatani na wazazi wake kabisa na hata kwenye jezi yake hatumii jina la ukoo wa baba yake kama wachezaji wengine wengi wanavyofanya anatumia jina lake Dele na anasema sababu ni kwamba tangu mdogo walikuwa wakimpa pesa zao lakini hawakuwa wakimpa muda wao hivyo akawa anatunza moyoni na ndiyo anawalipizia leo hii hana muda na wazazi wake kabisa

Japo nao walishaachana baba yuko nigeria mama yuko england ila wote anawachukia wakitaka kuonana naye anawakwepa na wamejaribu kumuomba msamaha ila amekataa japo sijajua kwa sasa wamefikia wapi kama kawasamehe au bado ana kinyongo nao ila haya mambo yapo wazazi wengi wa kiafrika hasa kina baba wanadhani wakishatoa hela basi wamemaliza kazi kumbe hawajui kwamba watoto wanahitaji muda wa kukaa na wazazi wao wote wawili

Sasa unakuta baba hana muda na watoto halafu bado ni mkali kiasi kwamba inafikia hatua akirudi kutoka kazini akipiga honi au akigonga mlango watoto wakijua ni yeye kama walikuwa sebuleni basi wote wanakimbilia vyumbani yaani wanamuogopa kama simba lakini cha kushangaza kina baba wengi wanaona fahari kuogopewa kama hivyo ila wakija kutoswa uzeeni ndiyo wanakuja na malalamiko kama haya yaani mtu anapanda kwenye shamba la hekari 1 halafu anategemea aje kuvuna kwenye shamba la hekari 100 sasa hizo hekari nyingine 99 anazikuta wapi kwa mfano yaani kina baba wengi wakae wakijua tu kuwa watavuna walichopanda hamna namna
sahihi kabisa mkuu..
 
Forum statistics

Threads 1,336,284
Members 512,585
Posts 32,533,534
Top