Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

ni ujinga tu
 

ona sasa! Hata ww ni miongon mwao kwan kulikuwa na ulazma gani wa kutuhadithia hapa kuwa umedate na wadada wawili tofauti?

Ww ni miongon mwao ila upo tofauti kidogo.
Tofauti yako ni kuwa
. Ww unaweza kuwasimlia watu kuwa nimemgegeda dada mmoja mpaka kaomba poo Ila unaweza usitaje jina lakn watu watajua kuwa leo Matola ametoka kugegeda.
. Tambua kuna makundi matatu
... Atamtaja jina aliyemgegeda
... Hata mtaja jina aliyemgegeda ila atatangaza kuwa amegegeda
... Huyu atakuwa nayo moyon na anaweza kumsilia mtu mmoja anayemwamin.
 
Last edited by a moderator:
wanaume viwembe na wanaoweza kazi siku zote wakimya,ila hao wanaotangaza ni vimeo
 

ww hakika n mpenz wa Mungu
 
Because boys are an immature version of men, and it makes them feel grown up, some men do it because they need to enlarge their ego. May I add that real decent men dont need to do this. Mia
 

Nyinyi vijana kuna kitu kimoja mnakosea sana kwa kutokujuwa au kufanya makusudi.

Kwenye Tv station watu uhojiwa na kusema ukweli wa mambo na sura zao huwa zinafichwa ikibidi hata sauti zao hubadilishwa.

JF tunatumia ID fake na wengi wetu tumeficha kabisa our true colours, mada iko wazi kabisa na hii ni open forum niko huru kuchangia ninavyotaka mimi na siyo unavyotaka wewe.

Ningetaka kuishi hapa kama unavyotaka wewe ningetumia jina langu halisi na picha yangu halisi.

Kwa akili hizi ndio maana Lara 1 anawasumbuwa sana akili kwa kudhani ndivyo alivyo nje ya JF kumbe sivyo.

Nahitimisha mimi mambo yangu ni kimya kimya lazima uelewe tumetofautiana that's it.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, inaonekana una bahati na vijana wa kijiweni!!
 

Mmmmmh! na wewe binti wa kichaga una mambo! siyo tu kwamba wanaililia, wengine wanaua au kujiua kwa ajiri ya hiyo kitu. kha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…