Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Miss chagga kumfanya mapenzi ndio nini?? Kama unamaanisha kumega hiyo huwa wanafanya wale wanaoziotea papuchi. Wazee wa kugandamizia huwa hawana muda huo kwanza watawasema wangapi?

ha ha ha ha sawa mkuu
 
Nakumbuka nimeshatoka na wadada watatu tofauti wawili wameolowa na watu tunaofahamiana na mmoja ni girl friend wa rafiki lakini this is my secret to my grave.

Huyu demu mwanzoni alikuwa hajiamini lakini sasa hivi ana uhakika sijamueleza lolote mtu wake kuhusu our past.

Kwa kifupi hao ni malimbukeni tu wajinga flani.
Huu uliofanya hapa pia ni ulimbukeni tu kama hao jamaa unaowasema.
 
asante shemeji .. ila huku kijiweni hadi wanatamani kuhama mtaaa

Ni ushamba tu unawasumbuwa, kuna mdada ni mshkaji wangu tumekuwa wote ameolewa na Rafiki yangu ambaye ni brother wangu kama ningekuwa kasuku wa kumpa file la past za mke wake asingemuoa kamwe, kwahiyo niko hivyo kwenye maisha.

Naweza kukaa na mtu na mke wake nimeshamtafuna kabla yeye hajaowa na huwa sina tabia ya kuingilia ndoa za watu kumuomba tena mwanamke tupashe kiporo.
 
mambo rafiki

kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:

  • ni ufahari/ushindi?
  • starehe?
  • unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu.....huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi....

wanaume fungukeni tupate kuelewa..

Hapo sielewi. Mapenzi hafanywi mtu bali ni two way pleasure labda kama umebaka ndo uweze kusema umemfanya. Ukiona mwanaume anasema amekufanya ni limbukeni hajuwi mapenzi
 
sawa shemeji
 
miss chagga hapo kila mtu atajitahidi kuficha makucha yake
lakn ktk hali ya kawaida ya mwanaume nafsi yake inaona fahari kufanya sex na mwanamke.

Japo tofauti inakuwepo,
.kuna ambaye atatangaza
.yupo atakayejisifia moyon kimya kimya.

Na hasa atajiona proudly pale atakapofanikiwa kumgegeda mwanamke mwenye msimamo ambaye hajihusishi sana na mahusiano.

Japo wengi watakataa lakn ukweli wanaume karibia wote wanaona fahari kugegeda ila wale wenye ufinyu wa fikra ndio wanafikia hatua ya kutangaza kabisa ila wenye vifua huishia kujisifia kimoyomoyo na wengne humsimulia rafki yake wa karibu
 
Last edited by a moderator:

aisee basi hawa wa huku mitaani sijui ni wawapi?
 
nadhani wewe umesema ukweli
 
sawa shemeji

Na nyinyi wenye vibamia mnawafichia aibu au mnawasambaza kwa mademu wenzenu?

Maana kuna siku nusu nicheke nilikuwa na jamaa pub fulani hivi ina guest mshikaji akazama ndani na mcharuko wake kabla sijamaliza ile bia niliyokuwa nakunywa wao wakawa wameshamaliza yao wakatoka wakanikuta mezani, sasa mazingira kama haya wanaume wa aina hii huwa hamuwasambazi kweli?
 
mambo rafiki

kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:

  • ni ufahari/ushindi?
  • starehe?
  • unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu.....huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi....

wanaume fungukeni tupate kuelewa..

hao watakuwa WAVULANA.
 
mimi huwa sisambazi sasa sijui wengine
 
Pole dada yangu miss chagga kwa kujiuliza maswali mengi sana.

Hili la kujisifia/usifiwa ni hulka ya binadamu, hakuna binadamu siyependa kujisifu au kusifiwa, kwa vile hii ni kawaida yetu binadamu basi siyo ajabu, ila kitakacho fanya kujisifu au kusifiwa lionekane ni jambo la ajabu ni aina ya sifa unayojifisia au kusifiwa, hapa ndiyo utakuta na zile sifa za kijinga na zile zenye lengo la pongezi kutokana jambo jema ulilofanya n.k n.k

Tukirudi katika hili swala la mwanaume kujifisia kufanya mapenzi na mwanamke, kwanza kabisa hapa inategemeana na jinsi mwanaume anavyo lichukulia swala zima la mapenzi, kuna wengine hulichukulia ni jambo la siri sana hata ukigundua kwa bahati mbaya kafanya mapenzi na mwanamke fulani hatokubali kutoka na jinsi alivyojenga mtazamo wake juu ya mapenzi, lakini pia hapa kuna wale wanaolichukulia kama ni jambo la sifa hivyo kulisema kwa mtu yeyeto yule siyo shida wala haoni ajabu haijalishi kaulizwa ama laa!

Kwa mantiki hiyo hapa utagundua kwamba huko ni kujisifia siyo;

  • ufahari/ushindi
  • starehe
  • kudhalilisha mwanamke
Hizo ni tabia tu hata kwa wanawake pia wapo wanaojisifia kufanya mapenzi na wanaume.

Vile vile tabia hizi za kujisifia mara nyingi wanazo sana wale vijana au wanaume ambao hawajaingia katika ndoa, sitegemei kumsikia mtu alieko kwenye ndoa akijisifia jinsi anavyofanya mapenzi na mkewe, ikiwa hivyo basi huyu hajui thamani ya mke.

Lakini yote kwa yote zinaa ni dhambi haijalishi unajisifia kwa ujuzi wako wa kufanya ngono ama unaficha, subiri wakati wako ufike.
 
Last edited by a moderator:
mambo rafiki

kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:

  • ni ufahari/ushindi?
  • starehe?
  • unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu.....huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi....

wanaume fungukeni tupate kuelewa..

pole sana,kumbe hata haya hukukuta?
 
Maswali hayo waulize wanawake wenzio maana ninyi ndio mnatengeneza mazingira. Kwani mnapotupa mnafikiria nini?
Kwani hiyo papuchi mmepewa ya nini? Mbapotamani kuzaa mtazaaje?
 
Back
Top Bottom