Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Kwa kifupi siri za ndani tuziache ndani tu,muda mwingine huwa nahisi ni ushamba na utoto ila unakuta jamaa mtu mzima kabisa anakusimulia mambo hayo aliyoyafanya kwa msichana,mwingine kila akisex lazima atangaze.
Kwangu mimi huwa sipendi ukianza kuniambia tu nakukatisha mapemaaaaa.
ni ujinga tu
 
Nakumbuka nimeshatoka na wadada watatu tofauti wawili wameolowa na watu tunaofahamiana na mmoja ni girl friend wa rafiki lakini this is my secret to my grave.

Huyu demu mwanzoni alikuwa hajiamini lakini sasa hivi ana uhakika sijamueleza lolote mtu wake kuhusu our past.

Kwa kifupi hao ni malimbukeni tu wajinga flani.

ona sasa! Hata ww ni miongon mwao kwan kulikuwa na ulazma gani wa kutuhadithia hapa kuwa umedate na wadada wawili tofauti?

Ww ni miongon mwao ila upo tofauti kidogo.
Tofauti yako ni kuwa
. Ww unaweza kuwasimlia watu kuwa nimemgegeda dada mmoja mpaka kaomba poo Ila unaweza usitaje jina lakn watu watajua kuwa leo Matola ametoka kugegeda.
. Tambua kuna makundi matatu
... Atamtaja jina aliyemgegeda
... Hata mtaja jina aliyemgegeda ila atatangaza kuwa amegegeda
... Huyu atakuwa nayo moyon na anaweza kumsilia mtu mmoja anayemwamin.
 
Last edited by a moderator:
wanaume viwembe na wanaoweza kazi siku zote wakimya,ila hao wanaotangaza ni vimeo
 
Hapa naona watu wanajificha hapa,ki ukweli kabisa KILA mwanaume LAZIMA aseme(sijui kama ndo kutangaza??maana hata kama ukimuambia mshikaji wako mmoja huko tayari nikutangaza) ila ni kawaida kusema,sasa inakuja hoja kuwa unasema ili nini.
1.Labda mwanamke huyo anajua majambo hadi chenji ya rada inabaki,yaan mauno viuno,mtu anajua mambo hadi balaa.(Kwa hiyo hapa nikumsifia)
2.Labda mwanamke alikuwa anazungusha mahakama(wanasema huwa ni wagumu),sasa siku atayempitia ataeleza kwa rafiki yake/zake kuwa yule demu bwana nimefanikiwa kusign pale.(UJIKO:first🙂
3.Labda demu alikuwa mtu wa mashauzi mengi na nyodo kibao kitaa au mahali alipo,sasa akipitiwa mhusika atasema kuwa kamkomesha nyodo zote mfukoni,na mbaya sasa huyo mwanamke awe gogo kitandani,hapo atasemwa vibaya sana.🙂embarrassed🙂
..Kwa hiyo ndio kusema kuwa inategemea na aina ya huyo mwanamke anayesemwa/au kutangazwa,ila UKWELI hakuna mwanaume ambaye hajawahi msema dem aliyempitia,hata kama ni wale wanaojiuza njian au popote ipo siku ukikaa na washkaji utasikia tu..dah!kuna siku nlikula malaya mmoja anajua mambo dunia ya kati hakuna...

ww hakika n mpenz wa Mungu
 
Because boys are an immature version of men, and it makes them feel grown up, some men do it because they need to enlarge their ego. May I add that real decent men dont need to do this. Mia
 
ona sasa! Hata ww ni miongon mwao kwan kulikuwa na ulazma gani wa kutuhadithia hapa kuwa umedate na wadada wawili tofauti?

Ww ni miongon mwao ila upo tofauti kidogo.
Tofauti yako ni kuwa
. Ww unaweza kuwasimlia watu kuwa nimemgegeda dada mmoja mpaka kaomba poo Ila unaweza usitaje jina lakn watu watajua kuwa leo Matola ametoka kugegeda.
. Tambua kuna makundi matatu
... Atamtaja jina aliyemgegeda
... Hata mtaja jina aliyemgegeda ila atatangaza kuwa amegegeda
... Huyu atakuwa nayo moyon na anaweza kumsilia mtu mmoja anayemwamin.

Nyinyi vijana kuna kitu kimoja mnakosea sana kwa kutokujuwa au kufanya makusudi.

Kwenye Tv station watu uhojiwa na kusema ukweli wa mambo na sura zao huwa zinafichwa ikibidi hata sauti zao hubadilishwa.

JF tunatumia ID fake na wengi wetu tumeficha kabisa our true colours, mada iko wazi kabisa na hii ni open forum niko huru kuchangia ninavyotaka mimi na siyo unavyotaka wewe.

Ningetaka kuishi hapa kama unavyotaka wewe ningetumia jina langu halisi na picha yangu halisi.

Kwa akili hizi ndio maana Lara 1 anawasumbuwa sana akili kwa kudhani ndivyo alivyo nje ya JF kumbe sivyo.

Nahitimisha mimi mambo yangu ni kimya kimya lazima uelewe tumetofautiana that's it.
 
Last edited by a moderator:
Mambo rafiki

Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:

  • Ni ufahari/ushindi?
  • Starehe?
  • Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa

Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.

Wanaume fungukeni tupate kuelewa.

Mmmmmh! na wewe binti wa kichaga una mambo! siyo tu kwamba wanaililia, wengine wanaua au kujiua kwa ajiri ya hiyo kitu. kha!!
 
Back
Top Bottom