Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

yani hadi alivyomkunjua kunjua ... mmoja akasema eti hadi alimtoa kinyesi jamani kama unampasi mwenzio siiwe siri yako loh....

ha ha ha so your proud of using it?

kuna rafiki yangu tulipokuwa o level yaani asigegede atanisimulia mpaka nikawa namkwepa halafu na stop kwa story zake noma kweli
 
hii mambo ni kote kote, kuna wadada nao wanatangaza vile vile, kuna mdada niliwahi kumsikia anajisifia eti hadi sasa ameishatembea na wanaume 40 akiwemo na ali kiba. Mwingine naye niliwahi kumsikia anaji-proud eti katembea na fulani na fulani (akiwataja wale wanaume wa maana). So ni sifa kama zilivyo sifa nyingine za kijinga! na inategemea unamsimulia nani!! mara nyingi ni kutaka aonekane yuko juu kuliko nyie (anawasimulia)

Hivi dida naye si alitangaza kunaniliii na zito!!! au nimepoteza network
ni kweli ila sasa asilimia kubwa wnaume mnaongoza loh
 
Zamani ilikuwa fahari kutembea na wanawake wengi,kwa sasa na magonjwa haya
ukisimulia unawekwe kwenye list,kuimbiwa ''niagieni,niagieni..."
Naungana na wanaosema ni ushamba.
 
ni aina ya upumbavu na ujinga kwa wavulana hasa, ukiwa mwanaume huwezi ropoka hayo mambo kabisa....
 
Miss chagga kumfanya mapenzi ndio nini?? Kama unamaanisha kumega hiyo huwa wanafanya wale wanaoziotea papuchi. Wazee wa kugandamizia huwa hawana muda huo kwanza watawasema wangapi?
 
mambo rafiki

kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:

  • ni ufahari/ushindi?
  • starehe?
  • unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu.....huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi....

wanaume fungukeni tupate kuelewa..



I don't think so,we do respect women as our friends and cant say such a silly words
 
Mkuu kwanza habari za siku.
Umesema kweli ni kutojiamini na kutojitambua naweza kusema hivyo, lakini tatizo hilo lipo sana hasa siku hizi na hapa JF wapo wengi tu wanapeana uzoefu kupitia PM......


Mkuu Mtambuzi salama kabisa aise
Umepotea sana mkuu
mambo ni vipi aise
Kabisa mkuu unachosema ni kutojiamini na kutokujijtammbua kuwa anachofanya ni kama ujinga fulani hivi
 
Last edited by a moderator:
miss chaga usitegemee majibu sahihi ya swali lako hapa kila mtu atajifanya yeye atangazagi kwa masela

nikuhakikishie ni vigumu kidume kumgonga demu alafu asiseme kabisa ni VIGUMU mno

nashukuru mkuu ila sasa huwa mnasema kwa ajili ya nini?
 
Nakumbuka nimeshatoka na wadada watatu tofauti wawili wameolowa na watu tunaofahamiana na mmoja ni girl friend wa rafiki lakini this is my secret to my grave.

Huyu demu mwanzoni alikuwa hajiamini lakini sasa hivi ana uhakika sijamueleza lolote mtu wake kuhusu our past.

Kwa kifupi hao ni malimbukeni tu wajinga flani.
 
Nakumbuka nimeshatoka na wadada watatu tofauti wawili wameolowa na watu tunaofahamiana na mmoja ni girl friend wa rafiki lakini this is my secret to my grave.

Huyu demu mwanzoni alikuwa hajiamini lakini sasa hivi ana uhakika sijamueleza lolote mtu wake kuhusu our past.

Kwa kifupi hao ni malimbukeni tu wajinga flani.

asante shemeji .. ila huku kijiweni hadi wanatamani kuhama mtaaa
 
Back
Top Bottom