ni kweli msifanye hivyo
Maswali hayo waulize wanawake wenzio maana ninyi ndio mnatengeneza mazingira. Kwani mnapotupa mnafikiria nini?
Kwani hiyo papuchi mmepewa ya nini? Mbapotamani kuzaa mtazaaje?
mambo rafiki
kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu.....huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi....
- ni ufahari/ushindi?
- starehe?
- unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
wanaume fungukeni tupate kuelewa..
aisee sawa tukuna wanawake pia hu hadithia wasipofikishwa, nao tusemeje? ikimpinda vizuri ni lazima ujisifu
nadahini ni kwelihao wanaojisifia ndo wale wasioweza mavituzi wawapo 6 x 6....kuna WAKIMYAAaa ila ni VIWEMBEEEee wanadunda na huwa wanasifiwa na madem..kiasi cha madem kupenda kutongozwa nao
Kumfanya mapenzi mwanamke ndio kufanyaje?
Nilihisi nimeelewa ila ulipoandika kile kipengele cha kwamba ni kumdhalilisha mwanamke nikashtuka kuwa huenda umemaanisha kitu tofauti!
Ni adhabu, ni shida, ni starehe fupi yenye majuto na gharama kwani wengi mna tamaa na ni wa hafu na mna shida nyiiingi. Unajiremba nje kumbe ndani maji taka. Nk
miss chagga hapo kila mtu atajitahidi kuficha makucha yake
lakn ktk hali ya kawaida ya mwanaume nafsi yake inaona fahari kufanya sex na mwanamke.
Japo tofauti inakuwepo,
.kuna ambaye atatangaza
.yupo atakayejisifia moyon kimya kimya.
Na hasa atajiona proudly pale atakapofanikiwa kumgegeda mwanamke mwenye msimamo ambaye hajihusishi sana na mahusiano.
Japo wengi watakataa lakn ukweli wanaume karibia wote wanaona fahari kugegeda ila wale wenye ufinyu wa fikra ndio wanafikia hatua ya kutangaza kabisa ila wenye vifua huishia kujisifia kimoyomoyo na wengne humsimulia rafki yake wa karibu
mimi huwa sisambazi sasa sijui wengine
Haha jirani wewe umejuaje? au kuna mtu alishakutangaza nini??wanaume wa hivyo hata humu wapo
Na vibamia umevijuwaje?
Hapa naona watu wanajificha hapa,ki ukweli kabisa KILA mwanaume LAZIMA aseme(sijui kama ndo kutangaza??maana hata kama ukimuambia mshikaji wako mmoja huko tayari nikutangaza) ila ni kawaida kusema,sasa inakuja hoja kuwa unasema ili nini.
1.Labda mwanamke huyo anajua majambo hadi chenji ya rada inabaki,yaan mauno viuno,mtu anajua mambo hadi balaa.(Kwa hiyo hapa nikumsifia)
2.Labda mwanamke alikuwa anazungusha mahakama(wanasema huwa ni wagumu),sasa siku atayempitia ataeleza kwa rafiki yake/zake kuwa yule demu bwana nimefanikiwa kusign pale.(UJIKO:first🙂
3.Labda demu alikuwa mtu wa mashauzi mengi na nyodo kibao kitaa au mahali alipo,sasa akipitiwa mhusika atasema kuwa kamkomesha nyodo zote mfukoni,na mbaya sasa huyo mwanamke awe gogo kitandani,hapo atasemwa vibaya sana.🙂embarrassed🙂
..Kwa hiyo ndio kusema kuwa inategemea na aina ya huyo mwanamke anayesemwa/au kutangazwa,ila UKWELI hakuna mwanaume ambaye hajawahi msema dem aliyempitia,hata kama ni wale wanaojiuza njian au popote ipo siku ukikaa na washkaji utasikia tu..dah!kuna siku nlikula malaya mmoja anajua mambo dunia ya kati hakuna...
asante sana mkuuPole dada yangu miss chagga kwa kujiuliza maswali mengi sana.
Hili la kujisifia/usifiwa ni hulka ya binadamu, hakuna binadamu siyependa kujisifu au kusifiwa, kwa vile hii ni kawaida yetu binadamu basi siyo ajabu, ila kitakacho fanya kujisifu au kusifiwa lionekane ni jambo la ajabu ni aina ya sifa unayojifisia au kusifiwa, hapa ndiyo utakuta na zile sifa za kijinga na zile zenye lengo la pongezi kutokana jambo jema ulilofanya n.k n.k
Tukirudi katika hili swala la mwanaume kujifisia kufanya mapenzi na mwanamke, kwanza kabisa hapa inategemeana na jinsi mwanaume anavyo lichukulia swala zima la mapenzi, kuna wengine hulichukulia ni jambo la siri sana hata ukigundua kwa bahati mbaya kafanya mapenzi na mwanamke fulani hatokubali kutoka na jinsi alivyojenga mtazamo wake juu ya mapenzi, lakini pia hapa kuna wale wanaolichukulia kama ni jambo la sifa hivyo kulisema kwa mtu yeyeto yule siyo shida wala haoni ajabu haijalishi kaulizwa ama laa!
Kwa mantiki hiyo hapa utagundua kwamba huko ni kujisifia siyo;
Hizo ni tabia tu hata kwa wanawake pia wapo wanaojisifia kufanya mapenzi na wanaume.
- ufahari/ushindi
- starehe
- kudhalilisha mwanamke
Vile vile tabia hizi za kujisifia mara nyingi wanazo sana wale vijana au wanaume ambao hawajaingia katika ndoa, sitegemei kumsikia mtu alieko kwenye ndoa akijisifia jinsi anavyofanya mapenzi na mkewe, ikiwa hivyo basi huyu hajui thamani ya mke.
Lakini yote kwa yote zinaa ni dhambi haijalishi unajisifia kwa ujuzi wako wa kufanya ngono ama unaficha, subiri wakati wako ufike.
duh basi mkuu mbona hivi? una tatizo gani ? haha haha hahahahaHuwa nashangaa wanaume kupewa lawama na kuambiwa eti wana vibamia wakati tatizo ni hizo papuchi oversize. Makombora, madebe ambayo hata ufanye adjustment gani hayawezejani. Acheni lawama. Kafa yeni plastic surgery nzipunguze. Loooh mnatuchosha watoto wa wenzenu. Mwanamke kabeba utadhani allocation ya wanawake 4 !!!