Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

na mwanajf? sijawahi

Kwani huyo anaekula uroda wewe una uhakika gani kama siyo Mwana JF.

Mimi baba yangu yuko over 60 na anaingia JF ila sina uhakika tu kama ni member, kuna siku alinipa smartphone nimrekebishie app nikagunduwa anaingia humu na JF app ipo kwenye simu yake.
 
tanzania unafiki hautaisha,hayo mambo ni asili ya wanaume,nashangaa hawa wanaoponda wkt ndo walewale
 
Kwani huyo anaekula uroda wewe una uhakika gani kama siyo Mwana JF.

Mimi baba yangu yuko over 60 na anaingia JF ila sina uhakika tu kama ni member, kuna siku alinipa smartphone nimrekebishie app nikagunduwa anaingia humu na JF app ipo kwenye simu yake.

basi hata kama mwanajf hatujakutana jf hicho ninachomaanisha
 
Kuanza mapenzi ukubwani..ndo shida kubwa..yaani kila mtu akipewa papuchi anaona ni zali kwake..utaskia mwanangu nimepata zali..ikimuuliza lipi..? Miss chaga kanipa mambo nimemsukumia nyama jana usiku..!!!!
 
ukiona hivi ujue hakutegemea kumpata huyo dada kama kweli katembea nae....na kama hana jeuri ya kumpata anajifariji tu kwa kuongea ili hali moyoni mwake anajua anajidanganya
 
hii mambo ni kote kote, kuna wadada nao wanatangaza vile vile, kuna mdada niliwahi kumsikia anajisifia eti hadi sasa ameishatembea na wanaume 40 akiwemo na ali kiba. Mwingine naye niliwahi kumsikia anaji-proud eti katembea na fulani na fulani (akiwataja wale wanaume wa maana). So ni sifa kama zilivyo sifa nyingine za kijinga! na inategemea unamsimulia nani!! mara nyingi ni kutaka aonekane yuko juu kuliko nyie (anawasimulia)

Hivi dida naye si alitangaza kunaniliii na zito!!! au nimepoteza network

Ni kweli mkuu jana tu nilkuwa napiga chabo maongezi ya mama mmoja hv tena ni mtu mzima anamuadithia mwenzio idadi ya askari magereza aliotembea nao......nilichoka aiseeee kwahiyo hiz mambo bana sio kwa me tu hadi ke vilevile wanazo
 
Back
Top Bottom