nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
Kama hamtaki tuwaseme punguza foleni na sisi tunaumia baada ya kutuacha kwenye mataa mnatutangazia ati tuna vibamia na hatujui kuzama kama wapya mnaowapatani sawa lakini pia mkuu muache tabia ya kuwasema vibaya na kutunyima raha... mkikosea lazima tuseme
hee!!! basi sisemi nisije nikafa na kichupa changu bure!!!!
Yani wewe mpaka unakufa utagusa papuchi yangu kabisa
Kama hamtaki tuwaseme punguza foleni na sisi tunaumia baada ya kutuacha kwenye mataa mnatutangazia ati tuna vibamia na hatujui kuzama kama wapya mnaowapata
Naona hujamwelewa vizuri kwa kusema
Yeye kakuchunuku na unapoteza bahati? Kaandika hivi:
Yaani hakuandika kuwa Hutagusa bali utagusa. Hongera zako
miss chagga baby njoo unihakikishie hapa kama ndo hivi kweli.....!!!Naona hujamwelewa vizuri kwa kusema
Yeye kakuchunuku na unapoteza bahati? Kaandika hivi
Yaani hakuandika kuwa Hutagusa bali utagusa. Hongera zako
miss chagga baby njoo unihakikishie hapa kama ndo hivi kweli.....!!!
Siwezi najua issue ya love making is private na tulifanya kwenye private place bila mtu mwingine kuhusika
Ya nini ukamtangaze kijiweni kuwa nimetembea na yule na yule au yule dada usimuone hivi anaringa hana lolote yuko hivi na hivi inasaidia nini sasa
Sana sana unajidhalilisha na kumdhalilisha mhusika
ukweli ni kwamba hutakaa huguse papuchi yangu mpaka ufe... achana na nanjilinji mwalimu wa kiswahili
mmh!!!
roho mbaya hiyo mungu hapendi....!!!!
Mimi nataka ninyi wanaume mseme malengo yenu ya kutunyima raha kitaa
asante ....!
miss chagga we ni mwanaumeukijaribu utapata jibu uniletee
Mambo rafiki
Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.
- Ni ufahari/ushindi?
- Starehe?
- Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
Mie nnawajua pia wanawake wengi wanaosifia mihogo na kuhadithia aina mbali mbali waliyokutana nayo na wengine wanaweka mpaka hesabu kamili na kujisifia. Wengine wanajisifia leo wamekula mihogo mingapi, kuna watu nimewasikia wakijisifu mpaka 10 kwa siku.
Hayo ndio yamenifanya nisipende kwenda saloon. Tena ukiwaona ni wanawake ambao huwadhanii.
Kwa hiyo hilo la wanaume kusifia K si exclusive kwao tu.
kama yako nyeusi kama sura yako
Unafaa sana katika jamii. Nakupa tano popote ulipo