Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Mambo rafiki

Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:

  • Ni ufahari/ushindi?
  • Starehe?
  • Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa

Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.

Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
Mkuu miss chagga Huenda usipate hapa jibu la kuridhisha kutokana na ukweli kwamba kila mtu anajitahidi kukwepa! Ukweli sisi wanaume ni vigumu kukaa kimya bila kueleza kabisa hata sifa chache juu ya mwanamke mrembo hasa wanaonyatiwa na wengi! Hii huwa ni hali ya kuonyesha umwamba tu kwa wengine wala haina maana kubwa! Kwa wale wanaojidai kuwa hawasemi ni waongo! Si lazima useme kijiweni hata ukimsimulia rafiki yako tu,ndo kusema kwenyewe. Kabla ya kuwa kwenye ndoa,me nimesema sana!!!
 
Last edited by a moderator:

Duh kuna umuhimu wa kutokuwapa papuchi zetu
 
Last edited by a moderator:
wote wanaosema ni ubwege au ni ulimbukeni utakuta ndo wanaosema sana... kiukweli mwanaume ameumbwa kutawala ambayo huja na majigambo kwa njia nyingi tu so ikija katika hilo swala hasa kwa wanaume wenzake awez kujishusha kuonekana sio lijali na mengine meng..... ila huendana sana na umri ... kuna wakati utafika utakuwa hauna hata hali ya kuongea uliyoyafanya na mchepuko wako zaid ya kusema "nishatoka nae"....
 
Duh kuna umuhimu wa kutokuwapa papuchi zetu
Kwa nn msitoe!?? Jambo la muhimu hapa ni kwa nyie kuwa na vitu adimu! Kwa mfano mimi sipendi kweli siku ya kwanza nakutana na dem awe na kufuli jeusi au jekundu! Yaani atakuwa amenivunja nguvu kabisaaaa! Ni muhimu kuwa msafi ili nikusifie.
 
Hahahahaaaa!!! Ni ufahari, ushindi,starehe na vyovyote vile utavyolifikiria inategemea na mtu umeamua kufanya hivyo kwa malengo gani. Mfano wanaume wanabishana kwamba yule humuwezi ...mtoto yule anapiga sana watu vibuti n.k unategemea mtu akifanikiwa ataacha kurudi kutoa ripot na kuwaprove wrong wenzake?
Pia umeongelea upande mmoja tuu kwani na nyie kina Miss Chaga na wenzako kina Lara, Munkari na wengineo hamuadithianagi etiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
Mambo rafiki

Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:

  • Ni ufahari/ushindi?
  • Starehe?
  • Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa

Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.

Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
 
Duh karibu tena

kwa leo inatosha nadhan ni muda wako nawe kwenda kuwapikia wenyewe isije kesho tukakuta post "Aniacha kisa kutompikia" mnamambo watu wa humu. Hata mtu akiss-iwe utakuta uzi humu "Jana nimekiss-iwa"
 
wote wanaosema ni ubwege au ni ulimbukeni utakuta ndo wanaosema sana...
Mkuu huu ndio ukweli mi mwenyewe nimesema ni unafiki ili watu kuvuta wateja wanao-penziana "PM" ili kuwapa confidence madada wa humu , hamna lolote ni katabia ka wote si wanaume wala wanawake ila kwa kuwa hoja ni wanaume ndio hao wanafiki(sisi)
 
Anajisifu uongo unakuta mambo hawezi anaishia kuhema na kutoa ulimi wote nje kama mbwa mwenye kicha. Wengi wao siku hizi wanaojisifu wanamegwa wanajipendekeza kwa wadada ukiongea nae siku mbili na kuongozana nae anakwenda jisifu ili asionekane anashikishwa ukuta.

Umezungumza kwa jazba mno, nadhan utakuwa na ka ushuhuda, Mmmh. Hebu tusimulie, Uliangukiaga Pua nn? Ukajua jamaa kidume, kumbe kitu cha Riverside eeeenh???? Ha ha ha ha haaaa.

Njoo huku, tatizo mnapenda sana, wanaume wanopaka shedo kama nyinyi, Mnapenda wanaume wanaoshindana nanyi kwenye vioo...

Mwanaume kazi, Uzuri wa Mwanamke. Tunasimamia vidole mpaka utaje majina yangu yote.
 
Ni kheri hata hilo la kusema tu flani nina mahusiano naye ama nilisha cheza naye sita kwa sita kuliko tabia ya kuanza kusema yaliyo ya ndani kwa wasio husika{third part}na hasa pale inapo onekana kutofautiana. Na hili haliko upande wa wanaume tu mpaka ninyi wanawake. Mbona kabla ya uhusiano kuvurugika hatukuyasikia? Iweje leo? Na ni hakika gani uliyo nayo kwamba wewe umekamilika? Kwa kweli hiki kitu nakichukia mpaka hatua ya mwisho.
 
kwa hiyo wewe hujawahi kusema hivyo? kwa sababu unakuta mtu kabisa anamkosesha dada amani kisa kamla jamani

kumla mtu nakujisifu ni udhaifu tu..
as watu wenyewe tushatia akilini mwetu kuwa anayechezewa ni mwanamke, hiyo dhana ndiyo inaleta na hako kahali
 
Wanatangaza kwa mademu visu ili wapate props kwamba wanang'oa mademu wa ukweli ila akipiga polygon hata kutangaza hawatangazi.
 
Ni kheri hata hilo la kusema tu flani nina mahusiano naye ama nilisha cheza naye sita kwa sita kuliko tabia ya kuanza kusema yaliyo ya ndani kwa wasio husika{third part}na hasa pale inapo onekana kutofautiana. Na hili haliko upande wa wanaume tu mpaka ninyi wanawake. Mbona kabla ya uhusiano kuvurugika hatukuyasikia? Iweje leo? Na ni hakika gani uliyo nayo kwamba wewe umekamilika? Kwa kweli hiki kitu nakichukia mpaka hatua ya mwisho.

Na inaboa jamani
 
Kwa nn msitoe!?? Jambo la muhimu hapa ni kwa nyie kuwa na vitu adimu! Kwa mfano mimi sipendi kweli siku ya kwanza nakutana na dem awe na kufuli jeusi au jekundu! Yaani atakuwa amenivunja nguvu kabisaaaa! Ni muhimu kuwa msafi ili nikusifie.

Ha.ha ha kwa hiyo unataka kofuli nyeupe duh sawa
 
Hahahahaaaa!!! Ni ufahari, ushindi,starehe na vyovyote vile utavyolifikiria inategemea na mtu umeamua kufanya hivyo kwa malengo gani. Mfano wanaume wanabishana kwamba yule humuwezi ...mtoto yule anapiga sana watu vibuti n.k unategemea mtu akifanikiwa ataacha kurudi kutoa ripot na kuwaprove wrong wenzake?
Pia umeongelea upande mmoja tuu kwani na nyie kina Miss Chaga na wenzako kina Lara, Munkari na wengineo hamuadithianagi etiiiiiiiiiiiiiiiiiii?

Mimi nataka ninyi wanaume mseme malengo yenu ya kutunyima raha kitaa
 
Back
Top Bottom