miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #241
Wanatangaza kwa mademu visu ili wapate props kwamba wanang'oa mademu wa ukweli ila akipiga polygon hata kutangaza hawatangazi.
Kumbeeeeeee
Wanatangaza kwa mademu visu ili wapate props kwamba wanang'oa mademu wa ukweli ila akipiga polygon hata kutangaza hawatangazi.
Sawa tutawajibu basi na nyie mtujibu kwa nini mwafanya hivi? Kwa nini kutunyima raha?
mi nimesoma tu mkuu
umevumiliaa umeshindwa hahaa
miss chagga , unataka kuniambia wanawake hamfanyi hivyo? Naapa kudate na Madada wa humu kesho utakuta bango lenye maudhui ya Faragha yenu, mmh sijui anyw way baada ya hii madada nanyi mtujibu MankaM Mamndenyi.
Tatizo anti yangu unadate na vicheki bob, tafuta watu wenye umri wa kati na kupanda juu;
............ eti ni kwa wanaume tu, am sorry............
Hakuna cha bango wala nini;
Sana sana utakuja na uzi ........... she was so hot au wanasemaga ilikuwa na joto la kutosha ...............
Siwezi najua issue ya love making is private na tulifanya kwenye private place bila mtu mwingine kuhusika
Ya nini ukamtangaze kijiweni kuwa nimetembea na yule na yule au yule dada usimuone hivi anaringa hana lolote yuko hivi na hivi inasaidia nini sasa
Sana sana unajidhalilisha na kumdhalilisha mhusika
Mamndenyi umesema kweli.kwamba hapa inategemea unadate na nani..kama.wavulana tegemea hayo ila wanaume hapana tunaheshimu privacy na kuielewa.
please!! usimvunjie heshma CHAGGA wangu.Hiyo kweli, we are dating na yanapita kimya kimya;
hata tukikutana hatupeani like wala nini, tatizo ni hao watoto ambao sijui hata anti yangu anakowapata.
kama unaniona yani nawashwa kuandika..
please!! usimvunjie heshma CHAGGA wangu.
hivo vitoto vya wapi anaviokota wapi na umevijuaje?
Tatizo anti yangu unadate na vicheki bob, tafuta watu wenye umri wa kati na kupanda juu;
............ eti ni kwa wanaume tu, am sorry............
unawashwa nini etieee???? Sijakusikia uzurii we mtotokama unaniona yani nawashwa kuandika..