Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
Asante sana, umeelezea kwa ufasaha sana.1. Gubu
Mwanamke hutakiwi kuwa na gubu mpaka mwanaume akirudi kazini hajiskii hata raha kukaa nyumbani. Hata kama una shida mwache apumzike kwanza, then tafuta muda baadae ili umwambie kwa utulivu.
2. Wivu wa kupitiliza
Hii tabia wanaume wengi hatupendi, mwanamke unakuwa na wivu mpaka na simu za kikazi anazopigiwa mumeo! Tena wengine hata wakiona namba ngeni ndio kabisa.
3. Kujenga tabia ya mazoea
Mwanzoni mwa ndoa, mnajifanya watiifu sana, baada ya muda kupita huwa mnajenga tabia ya mazoea kiasi kwamba yale mnayokuwa mnawafanyia waume zenu mwanzoni mwa ndoa mnayaacha kisa tu mmewazoea. Hii tabia wanaume wengi wanaichukia na ndio chanzo cha wanaume wengi kuwa na michepuko kwani michepuko hawajengi tabia za mazoea, kila siku wanakuona mpya. Kama mwanzoni ulikuwa na tabia ya kumpokea mumeo akirudi kazini usiache hata kama siku asipokuja na kitu.
4. Ufedhuli/ujeuri
Mwanamke hutakiwi kuwa fedhuli/jeuri kwa mumeo. Kauli ndogo tu kwa mumeo inaweza kusababisha naye akakudharau.
5. Kuwa na sauti ya juu kuliko mumeo
Mwanamke hutakiwi kuwa na sauti ya juu kuliko mumeo, hata kama mumeo hana ubavu/tena wanawake wengine wao huwa ndio wanajifanya waongeaji sana kuliko waume zao hasa pale wanapotembelewa na mgeni.
Asante kaka. Nimekusoma.Kuwa off mood mbele ya Wageni/Jamaa zangu....hii kitu inaumiza sana zaidi ya kumfumania! Semwa kuhusu vyote, sio wife kutowakirimu wageni/ndugu jamaa na marafiki....
Safiii...point namba 2 imebamba sana. asante mno.Nikiwa kama baba wa nyumba, moja kabisa ni mke kukaribisha majirani kuja kuangalia TV ndani kwangu
Ya pili ni kujichubua au kuweka vitu bandia kwenye mwili mfano, wigi, kucha bandia, hereni kwenye K na mamekap yaliyozidi.
Ya tatu ni kushabikia mpira! Mwanamke kama unashabikia mpira pita mbali nami
Nimekuelewa sana. Point taken. Asante sana1. Tabia ya kuninunia bila sababu.
2. Tabia ya kukata a kuoga nami bafuni
3. Tabia ya kukataa kuongozana nami popote.
Tabia iliyo mbaya kuliko zote kutonipigia magoti anaposalimiana nami ama kunikaribisha chakula yaani full dharau muda wote.
hakuna shida, tabia nyingi zinafanana. Ukiona kwenye zilizoandiwa basi chomekea.MKE
1. Gubu
2. Kupekuwa simu yangu kila baada yadakika 15
3. Kubana mapaja hadi siku akijisikia yeye genye.
Nimenukuu kutoka kwa jirani hapa... Mie bado nipo nipot
watu8, tuko pamoja.Kilichonileta kwenye huu uzi ni kukusabahi tu mkongwe mwenzangu Caroline Danzi
Halafu baadaye baadaye nitarudi kumwaga mapoint ili Joanah aache tabia zake zinazowakera wanaume
6. Uongo1. Gubu
2. Mdomoo au maneno mengi ishu ndogo mtu anaifanya kubwaaa na kuongea sana bila kumaliza
3. Kumbania papuchi mmeo. Hapa wake wa ndoa huwa wanafeli sana unakuta mtu zaidi ya mwezi anabana miguu tu mwisho wa siku mumeo anaamua kukuacha tu anapiga kazi za nje
4. Kutokujishughurisha katika kutafuta hela mwisho wa siku mke unakua tegemezi kupitiliza
5. Kupekua simu ya mwanaume na kuanza kuuliza maswali