kwa wanaume tu..! ikikutokea hii utafanyaje..!?

Plz fafanua alimfahamuje? Lakini na huyo Bidada naye hampendi hata chembe huyo mwanaume; amewezaje kupanda gari la mumewe bila woga? Hili swali linalonisumbua sana.
 
Kwanza hata usingemkuta huko, kwa sababu mkeo si alikuona, kwa hiyo mzee ujue historia tayari.
funga ofisi umsubiri mkeo home, arudi na uninja wake umuone tena, ili kumbukumbu za kukufanya lofa zikae sawa.
 
Back
Top Bottom