stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 18,118
- 28,021
Hii ni mahususi kwa wanaume watakaokuwa wanafahamu hii kitu,kuna wanaoita Thigh gap na majina mengine mengi ambayo kimaadili siwezi kuyaweka hapa na kama kuna atakae penda kujua kiundani ani pm ili nimueleze what it is.Swali ni kuwa hii kitu inakuwa mtu amezaliwa nayo au kuna mazoezi ambayo mtu nafanya ili kuwa nayo,na je katika 6x6 watu wenye hii kitu wakoje ukilinganisha na watu wasiokuwa na hii kitu?KARIBUNI.