Kwa wanaume tu: Anaomba ushauri

Kwa wanaume tu: Anaomba ushauri

Hilo mbona tatizo dogo na halihitaji ushauri??
 
Mhhhh.....
Nadhani huyo Rafiki wako bado ni mvulana, hivyo haitaji kushauriwa.
Siku akiwa mwanaume atajirekebisha tu aiseee
 
Jamaa alilewa siku hiyo akachelewa kuamka na alilala na huyo mdada. Naye pia alichelewa kuamka. Kosa ndio liko hapo.
Kwaninani mwenye kibarua,binti au jamaa yako?jamaa yako nimzembe afukuzwe tu,maana hawezi kua makini,alarm zote hizi?anatafuta sababu ya kumuacha binti wawatu
 
he he he ni shida kwa kweli..

to be honest nikilala na mama watoto daily naamka mapema sana kuliko nikilala alone..

ile morning glory unaimalizia na bafuni then job..

au hata kama hamjapiga mechi ila bado natoka mapema sana
 
hahahahaaaa bae... mie nilirukia tu hata sikusoma heading. Ndo ujiulize mtihani wa hesabu nafanyeje kama hapa tu nimeenda OP
Kuna Uzi unawakataza wanawake kukaa juu ya wenye vibamia.. Huo ndio mzuri kwako...utafute.
 
Anaacha kulaumu mi pombe aliokunywa anamlaumu binti wa watu.
 
Muda wa mapenzi utengwe lakini muda wa kazi uheshimiwe 100%ndo ushauri wangu.

Demu akishindwa kuheshimu kazi ya mchizi kisa anmpenda ni upuuzi huyo demu ni wakutupilia mbali,mwanmke mwenye Akili anawaza maisha NA pilikapilika za kukuza uchumi wa familia xa kwa demu wa mchizi dah kasheshe!!!
 
Aisee nilikuwa namtaka mchepuko kama huyo demu wa jamaa. hebu nipe namba. kisha mshauri jamaa ako amuache!
 
Daah ile kasumba ya wavulana kuwaacha wapenzi wao mara wapatapo kazi/ajira inaendelea bila kijali kama wapenzi hao kwa namna moja ama nyingine wamewafikisha hapo.

Huyo rafiki yako haeleweki kbs, pombe kanywa mwenyewe kalewa kachelewa kazini lawama anatupia mwingine?

Anajua fika kibarua chake kina hung jujuu sasa si anywe wikendi tu?
Visa vimeanza nyie mkipataga kazi lazima dada zetu walie
 
chips yai znaharibu sana uwezo wa kufikiri wa vijana. mtoto anakua akishindiliwa mayai ya kizungu.. mwisho ndo mambo hayo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom