Kwa wanaume tu: Anaomba ushauri

Kwa wanaume tu: Anaomba ushauri

Jamaa alilewa siku hiyo akachelewa kuamka na alilala na huyo mdada. Naye pia alichelewa kuamka. Kosa ndio liko hapo.
Dada wa watu anakosa gani? Rafiki yako hajui thamani ya kazi yake. Kama anajijua pombe inamfanya hivyo kwanini alewe siku za kazi? hata alarm ya kumuamsha alishindwa kuweka imuamshe? Kama yeye hajali kazi yake hata huyo dada hataijli pia.
Mi sioni ushauri gani unahitajika
 
Sijaelewa.......
Halafu inaonekana unajua sana mambo ya rafiki yako.......
Rafiki yake wapi? Ni yeye tu kaamua kujiita rafiki yake hahahaaah

Naona wivu wa msichana wake ndo tatizo, anataka achat na baby mda wote pia awahi kurudi home. Sijui ndo gubu wanaita
 
Jamaa alilewa siku hiyo akachelewa kuamka na alilala na huyo mdada. Naye pia alichelewa kuamka. Kosa ndio liko hapo.
Kumbe mlevi. Basi tatizo sio mpenzi wake ni ulevi tu. Mwambie rafiki ako kuwa ulevi ni adui wa maendeleo
 
Rafiki yake wapi? Ni yeye tu kaamua kujiita rafiki yake hahahaaah

Naona wivu wa msichana wake ndo tatizo, anataka achat na baby mda wote pia awahi kurudi home. Sijui ndo gubu wanaita

Kumpa ushauri mtu kama huyu naona ni ufwisi tu.......
 
huo rafikiyo mbona mdhaifu sana...yaani anashindwa kumpanga msichana wake aheshimu mda wa kazi.. ni suala la kukaa nae chini na kumshauri aheshimu mda wa kazini..haina maana kusema waachane ili jamaa afanye kazi
 
Huu uzi utakua umeandikiwa Bar

Mtoa mada kashapiga lite kadhaa
 
Mim sielew connection. Ya kibarua na huyo dada ni nn?
 
Sijui ni uelewa mdogo wa kwangu, sijaelewa swali lako limelenga wapi.
 
Huyo demu wa rafiki yako anatembea na boss au?? yaani husomeki
 
Jamaa alilewa siku hiyo akachelewa kuamka na alilala na huyo mdada. Naye pia alichelewa kuamka. Kosa ndio liko hapo.
sasa hapo kosa la nani, Kwani huyo demu ndo alimfungua mdomo akamnywesha???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom