Kwa wanaume: Mnampangia mtu aishi vipi afanye nini wewe inakuhusu nini?

Tatizo hata wavulana mnawaita wanaume siku hizi.

Mwanamme anakimbia wanawake.

Wiki hii nimepigiwa simu na ma ex wanne, wote wananitafuta, mwingine ananiomba msamaha kwa mambo hata sikumbuki, mwingine anautaka muhogo anasingizia keyboard yake imeharibika nimpelekee keyboard wakati duka la keyboard analijua (nimemnunulia na kumtumia online kutoka Amazon halafu nimempotezea), mwingine analazimisha kurudiana, mwingine anaulizia nitakwenda kumuona lini.

Na wote nimewafungia vioo.

Hutanikuta nikimpangia maisha ex kwa sababu mimi mwenyewe nina mambo mengi sana maisha haya.

Sasa huyo mtu anayefuatilia maisha yako wakati mshaachana huyo nina wasiwasi ni mvulana, si mwanamme.


imekugusa keyboard mzima sana tu pole ujumbe umefika maisha gan unayowaza wew zaidi ya fitina
 
Relax mama unaonekana unajaziba Sana, pumua kwanza, jinyooshe unaeza ukajamba pia then tueleweshe vizuri ulikua unatuambia nini maana haueleweki kabisa hapa.
nadhani umenielewa sana tuuu hio jazba ndo naisikia kwako ujumbe ukifika lazma usieleweke kwa mlengwa ni moja ya defence mechanism utaedit kama hujaelewa
 
Hajielewi huyo muache atape tape. Hata akikutoa kasoro ndio yameshapita.

Mpuuze alijua unatania labda na itakuwa alitegemea ungerudi unatambaa kuomba mrudiane. Cha ajabu anaona unasonga mbele.
 
Back
Top Bottom