Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,457
- 60,877
Huu mwandiko mbona sio wa kike?Hivi wanaume wenye uzoefu Hii imekaaje
Wakati mnapomaliza Mechi yaani Sex huwa hamtaki kuguswa hizo uume zenu au inakuaje
Kuna huyu Kijana Wakati wa maandalizi huwa ananilazimisha kabisa nishike dudu yake tena ananivuta mkono niiguse
Sasa kinachonishangaza mkishamaliza pale labdaa mmepumzika bed ukisema umshike anakuwa anakutoa mkono yaani ni mara zote yuko hivyo
Sasa huwa najiuliza ni kwamba nikimgusa anakuwa anaumia au hataki tu kuguswa
Wakati mwinginee unataka ujaribu ili mchezo uendelee unakuta anakutoa mkono
Ukweli nimeshindwa kumuuliza anatatizo gani
Sasa nataka nijue kwenu ninyi kwani huwa zinauma ukiguswa au ana kisirani tu huyu jamaa 🤧🤧

