Kwa wanaotumia iphone

Kwa wanaotumia iphone

Hahahahaaaa...!!! Umetisha sana kiongozi, sasa hiyo simu ya 2008 ni app gani ya maana ipo supported humo maana hata whatsapp tuu huipati
Jail broke inarahisha kila kitu.
Afu nataka niiuze. Amazon naona wanazinunua kwa dola 2,000.
Nina mpango wa kuiweka na kuitunza huko mbelni inaweza ikawa deal kama komp ya kwanza ya stev job.
Wanainunua kwa $52,000
 
Jail broke inarahisha kila kitu.
Afu nataka niiuze. Amazon naona wanazinunua kwa dola 2,000.
Nina mpango wa kuiweka na kuitunza huko mbelni inaweza ikawa deal kama komp ya kwanza ya stev job.
Wanainunua kwa $52,000

Hapo nimekuelewa, jitahidi ibakie katika hali nzuri pia
 
kaka mkubwa simu za apple zina mvuto kwa umbo la nje tu lakini ukija kwenye ubora wa ios yake stability na free access ambayo user yyte wa simu janja ataitaka hiyo ipi low vibaya mno kwa mfano haikupi option ya kuchagua browsing app yenyewe kila ki2 itune labda uwe mtundu kidogo ui jailbreak na kuondoa limits zilizowekwa na manufactures hii itapelekea un-stability kwenye ios ya devise yako na hata ianweza lower security pili kwa uchumi wetu huu watanzania wengi watashindwa kufurahia iphone kwa kuwa apps nyingi ambazo ni free kwa androids kwenye iphone lazima ununue isipokuwa kwa social network apps mfano fb,snapshort,twitter n.k hizi ndo wameweka free access machache yangu hayo tu nami naomba uniwekeee ubovu wa mkorea (samsung)
Android for life napenda sanaa Android asee
 
Niko bongo bahati mbaya!! Kuna matumizi ya simu na matumizi ya computer. Mimi huwa sipendi changanya matumizi hayo. Series huwa natumia PC au TV. Simu for calling,simple searching,online video watching and chating. Mara kudownload mara sijui nini mimi hapana.
Utaki kujifunza vitu kaa ivo ivoo
 
Ukitaka bure si rudi kwenye android mkuu? Huku apple hua ni mwendo wa $ tu, nenda iTune utaona option za kuskiza music & videos ila sio free
 
Back
Top Bottom