DUMEGUY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 499
- 206
Wanasemaje "hata bugs kwenye simu sio tatizo bali ni feature ya simu au mfumo" na pia "kununua apps nayo ni future ya simu au mfumo husika" sasa ndugu unamiliki simu ya million 1 na ushee maana yake umechagua luxury life ndio maana Apple icloud storage unalipia kwa mwaka maanake ni kwamba umechagua luxury, ila google drive unapewa 15gb na haina limimit wala nini, unajua kila mtu anacho akipendacho ndio maana hata watengenezaji wana watu wamewalenga nasio lazima kununua kitu hakijakuvutia, na ni sawasawa na magari unawezakuta gari linauzwa bei ghali halafu wewe halijakuvutia ila wapo walipoliona walitaka kulinunua fast, au hata ndege kuna daraja la juu na lakati ila wote mtafika sawa sema huduma ndio tofauti
----EVERBODY HAVE CHOICES---
----EVERBODY HAVE CHOICES---