Kwa wanaotumia iphone

Kwa wanaotumia iphone

Habari zenu wanajamii, naomba kujuzwa ni app gan nmazitumia kudownload tvseries na kuangalia kupitia kupitia app store... alaf nawezaje kupata vshare free bila kulipia ??
i jailbreak kwanza ili uweze kudownload now

sent from my SM-galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Kipind natumia android nlikua natumia Terrenium tv
ukaona iphone nayo ni simuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee umeliwa amia samsung vuta s8+ ni tu 1.8m tu hela ya mboga kabisa hiyo au vuta turing cadenza ila agiza nnje kwa kuwa ndo rahisi kama 2.4m hivi ina iwezo kuliko pc sasa unatumia hayo masimu ya wadada kwa kuwa wanadanganyiwa kale ka alama pale nyuma na camera [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umebugiiii mkuuuuui

Unajidanganya we jamaa....iPhone mtindo mzima
 
Unafananishaje iPhone na vitu vya kijinga???

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Natumia ila hizo Tv series huwa nacheki kwenye Pc...ngoja wanaotumia wakuelezee vizuri

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Habari zenu wanajamii, naomba kujuzwa ni app gan nmazitumia kudownload tvseries na kuangalia kupitia kupitia app store... alaf nawezaje kupata vshare free bila kulipia ??
Niaje.?
Fanya hv,download VLC app, kuwa na browser yoyote ile na search any movies/tv series unayoitaka...ukishaipata copy link yake go to VLC sehemu ya download na 'paste' ile link ya awali uliyoikopi kwenye ile browser then mzigo ukishuka ni go to go.

Yaani iyo ndo njia rahis mno mno kwa sisi wa iPhone ila ukitaka 'app' ni itakula kwako na pesa pia.

Nahis nimekusaidia.

Melvine.!
 
Kama simu yako ipo jailbroken Zipo Applications lakini mpka simu iwe jailbroken kama PlayBox HD - Free Download (Ver:2.0) for iOS - AppSoDo.com na Popcorn Time
Jailbroken iPhone ni nzuri ila kuna tatizo moja..
Apple Inc wanakuhesabia app utakazozidownload over a year na ukifika namba flani (sina uhakika na idadi kamili) wanafunga iyo simu.

Ipo hv...simu ikasha pop up 'software update' na uki'update tu haitomaliza na simu inafungiwa automatically.

Moo info kuhusu ilo swala ipo siku nitakujaweka uzi hapa na kufaamishana kwa ujumla na upana wake.

Huu ndio ufala wa iOS sasa.nini hii sasa!!!
 
Unafananishaje iPhone na vitu vya kijinga???

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
kaka mkubwa simu za apple zina mvuto kwa umbo la nje tu lakini ukija kwenye ubora wa ios yake stability na free access ambayo user yyte wa simu janja ataitaka hiyo ipi low vibaya mno kwa mfano haikupi option ya kuchagua browsing app yenyewe kila ki2 itune labda uwe mtundu kidogo ui jailbreak na kuondoa limits zilizowekwa na manufactures hii itapelekea un-stability kwenye ios ya devise yako na hata ianweza lower security pili kwa uchumi wetu huu watanzania wengi watashindwa kufurahia iphone kwa kuwa apps nyingi ambazo ni free kwa androids kwenye iphone lazima ununue isipokuwa kwa social network apps mfano fb,snapshort,twitter n.k hizi ndo wameweka free access machache yangu hayo tu nami naomba uniwekeee ubovu wa mkorea (samsung)
 
Asee..it is ok to be different... Samsung sijaizoea mkuu nimezoea sana apple devices.. Hata na hivyo kila simu ina faida na hasara zake..Asante kwa changamoto
 
Taja apps 3 ambazo android ni free ios zinauzwa?
 
Niko bongo bahati mbaya!! Kuna matumizi ya simu na matumizi ya computer. Mimi huwa sipendi changanya matumizi hayo. Series huwa natumia PC au TV. Simu for calling,simple searching,online video watching and chating. Mara kudownload mara sijui nini mimi hapana.
 
Mh, bila shaka unatumia Nokia torch.
 
Asee..it is ok to be different... Samsung sijaizoea mkuu nimezoea sana apple devices.. Hata na hivyo kila simu ina faida na hasara zake..Asante kwa changamoto

Dah, mshkaji una mbwembwe, unajua siku zote mwenye nacho huwa hajifagilii design yako, usikute unaongea yote hayo kumbe una ka tecno p3

Halafu kitu kingine, mzoefu wa IOS huwa haulizi viswali vya kitoto hv kuna uwezekano ulisikia wageni wa ios wakizungumzia na wewe ukapata cha kupost ili uonekane na ww unatumia ios, huo ni ushamba, mnaongozwa kwa kiki na nyie mnaanza kiki za kibashite,

Sijui kwanini vijana wa siku hizi baadhi yenu mnapenda kujikweza, yani hamjikubali kabisa, ndio maana mna vibamia
 
Basi sawa, huo ni mtazamo wako!
 
Back
Top Bottom