Kwa wanaotarajia kujiunga SAUT Mwanza

Kwa wanaotarajia kujiunga SAUT Mwanza

Direct supp usipotimiza kwenye wastani wa mitihani ya mwisho na Indirect usipotimiza kwenye course work
 
Wajiandae kukutana na kina Sijjo, Papaa Mlongo aka Kambale Katungo,Maina, Munga, hvi Fr Maziku yupo? Dah..... Mara kaluhawe, Munga, Kitima na wengneooo!!! Mkaribie sehem moja inaitwa kwa Masha, cjui bado inawika? Ama uzunguni.
Bado panawika mkuu kwa masha ndio saut yenyewe
 
Nan aliyesoma SAUT Mwanza? Ni chuo ambacho kinatoa competent graduates. Zao la pale kwa kweli huwa limeiva. Kwa vijana wanaotegemea kujiunga first year pale wawe na amani kabisaaa. Cha muhimu zaid inabidi wawe serious. Grading n tofaut na vyuo kadhaa vya serikali. Supp inaanzia 49. Karibuni Saut Main campus-Mwanza.[/QUOTE
Nan aliyesoma SAUT Mwanza? Ni chuo ambacho kinatoa competent graduates. Zao la pale kwa kweli huwa limeiva. Kwa vijana wanaotegemea kujiunga first year pale wawe na amani kabisaaa. Cha muhimu zaid inabidi wawe serious. Grading n tofaut na vyuo kadhaa vya serikali. Supp inaanzia 49. Karibuni Saut Main campus-Mwanza.
Yaani saut ni nouma, nakumbuka kuna somo moja nilipataga 49.5 nikasupp, nika appeal, bado 0.5 ikakosekana, lol! 50 ndio C, muziki wa saut ni mzito kwa kweli
 
Pindi za papaa mulongo ni full.burudani, sijjo pia ila unaeza pata presha kwa pindi zake.. maziku utapata stori nyingi sana. Someni vijana, msithubutu kuingia na vibuti au pepa yeyote kwenye UE, maana itakuwa mwisho wa masomo yako. Kila la kheri katika kujenga jiji la Mungu
 
Bonge la chuo .
Units kibao Supplementaries ni kugusa tu
 
Wajiandae kukutana na kina Sijjo, Papaa Mlongo aka Kambale Katungo,Maina, Munga, hvi Fr Maziku yupo? Dah..... Mara kaluhawe, Munga, Kitima na wengneooo!!! Mkaribie sehem moja inaitwa kwa Masha, cjui bado inawika? Ama uzunguni.

Sijjo??ni mwal hapo Sauti? Alinifunza miaka kadhaa secondary
 
Back
Top Bottom