Godfataa
Member
- Oct 6, 2013
- 33
- 11
DuhSaut hakuna option, kama course yako inamasomo 14 unasoma yote. Na French 1 na 2 ni lazima kwa kila mwaka wa pili.
DuhSaut hakuna option, kama course yako inamasomo 14 unasoma yote. Na French 1 na 2 ni lazima kwa kila mwaka wa pili.
Hahaaaaah mkuu watakajua hapa mi nakuonea hurumaKweli Sauti wazuri kielimu hata ukienda na dv 4 ya form 6 utasoma kozi mwaka 1 then utaingia digrii. Sio kama mlimani wao ni dv 1 na 2 tu, dv 3 labda engineering
Mmmmmh sup 49 ,bac discontinued zitawahusu weng.Nan aliyesoma SAUT Mwanza? Ni chuo ambacho kinatoa competent graduates. Zao la pale kwa kweli huwa limeiva. Kwa vijana wanaotegemea kujiunga first year pale wawe na amani kabisaaa. Cha muhimu zaid inabidi wawe serious. Grading n tofaut na vyuo kadhaa vya serikali. Supp inaanzia 49. Karibuni Saut Main campus-Mwanza.
Vijana hawajirushi sana wanakomaa, wanakaza msuli.Mmmmmh sup 49 ,bac discontinued zitawahusu weng.
Hamna Disco saut uta carry somo hata miaka 6..Mmmmmh sup 49 ,bac discontinued zitawahusu weng.
Oral Exams kwa course ipi/Zipi?Wajiandae na oral exms pia
Apo kidogo afadhal umenipa moyoHamna Disco saut uta carry somo hata miaka 6..
sasa huko c kukumoona auHapo hamna cha course mwaka wa mwsho unaulzwa masuara mbalmbal uliyoyasoma na walm toka deptment nyngne its like an interview
Usijali kulipia apartment, mwaka huu ntakubeba ninapoishi ila sharti tu ujue kupika maana ndo challenge yangu kubwa..jiko la gesi double plate lipo na vyombo na msosi vipo skills zako tu za upishi.nitafutieni Apartment SAUT bei yangu ni 300000-350000.
Achaa kudanganyaa mliman huez enda ENGINEERING div 3Kweli Sauti wazuri kielimu hata ukienda na dv 4 ya form 6 utasoma kozi mwaka 1 then utaingia digrii. Sio kama mlimani wao ni dv 1 na 2 tu, dv 3 labda engineering