Saint Augustine University of Tanzania(SAUT)Mwanza

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,063
Habari zenu wakuu,,,Nimeamua kuanzisha Thread hii mahususi kwa Wanafunzi tulio chuo cha SAUT Main campus Malimbe Mwanza,,Lengo ni kuelezea kujadili maendeleo ya chuo chetu,Kupeana mbinu za hapa na pale ili kufanikisha malengo yetu kimasomo hasa wale wa Journalism wenzangu,,Karibuni sana wooooooooote iwe law,Education,Business,PR,Health,,,,Shukrani sana
 
PR mwili mzima hapa class of 2012-2015

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulijenge jiji la Mungu, live long SAUT.
Graduate wa fani ya sosholojia 2011.
I real missed those days! Enzi za kina Fr kitima akiwa vice chancellor, kina fr wagana, msafiri, Dr Gundula, Dr Elikiyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu,,,Nimeamua kuanzisha Thread hii mahususi kwa Wanafunzi tulio chuo cha SAUT Main campus Malimbe Mwanza,,Lengo ni kuelezea kujadili maendeleo ya chuo chetu,Kupeana mbinu za hapa na pale ili kufanikisha malengo yetu kimasomo hasa wale wa Journalism wenzangu,,Karibuni sana wooooooooote iwe law,Education,Business,PR,Health,,,,Shukrani sana
Nasikia kuna ma-lecture wa kihindi ni kwel mkuu??
 
Shida ya hawa SAUT ni Transcripts zao kuwa katika kurasa mbili. Kwa dunia ya sasa ya Online application system (OLAS) unakuta nafasi moja tu ya ku-apload transcript. Hii inaleta usumbufu sana, mliopo chuo pendekezeni mabadiliko kabla hamjaja mtaani!
Very true,,sawa mkuu
 
Back
Top Bottom