Kwa wanaotarajia kujiunga SAUT Mwanza

Kwa wanaotarajia kujiunga SAUT Mwanza

Kwa kuwa ndo naanza basi yeyote tu
Kipindi nasoma pale, niliishi jirani sana na chuo, c hostel kivile ila n nyumba ya mtu inavyumba kama 14 kwa ajili ya wapangaji ambao ni wanafunzi, vyumba n vzr, self, ila sasa ndan unakikuta kama kilivo, na kodi yake n laki6, kutoka pale kwenda chuo kwa miguu unatembea kama dakika7-8
 
I mean yeyote ile coz daah hostel za chuo majanga
Pale panafaa kwan cku zngne hata nipo kitandan nmelala kwa kudoj kipnd, nikipigiwa cm kuna quiz naiwah, tena kwa miguu, ila kuna zngne classic ndan kuna kitanda na meza ya kusomea ila zipo mbali, kufika chuo n dakka 30-45
 
Na demu wangu anaenda kuanza huko kusona diploma kawasili leo demu ni mkali hatar sijui nijiandae kisaikolojia kuchapiwa?
 
Inaonekana upo maeneo hayo? Kama upo maeneo hayo Ni PM no yako nikuunganishe na huyo mzee. Hyo ya karibu ipo kwenye kona ya barabara ya kuelekea jembe nj jembe beach.
Daaaaaaa aya bhana
 
Back
Top Bottom