strootboy
Member
- Nov 28, 2015
- 49
- 40
Nan aliyesoma SAUT Mwanza? Ni chuo ambacho kinatoa competent graduates. Zao la pale kwa kweli huwa limeiva. Kwa vijana wanaotegemea kujiunga first year pale wawe na amani kabisaaa. Cha muhimu zaid inabidi wawe serious. Grading n tofaut na vyuo kadhaa vya serikali. Supp inaanzia 49. Karibuni Saut Main campus-Mwanza.