Code255
New Member
- Feb 2, 2020
- 4
- 3
Habari wakuu,
Leo nimeona niwaletee app kutoka Google Playstore ambayo naamini itawasadia kwa namna moja au wale wanaotafututa nafasi za kusoma vyuo vya nje ya nchi katika fani mbalimbali na ni mahususi kwa wanaotaka na udhamini (sponsorship).
App inaitwa Scholarships Center
Sent using Jamii Forums mobile app