malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,788
- 4,477
Habari wakuu nimiezi mitatu sasa presha yangu haishuki Toka niugue homa kali ..presha tangia hapo haijawahi shuka pamoja na kufanya Kila jitihada presha inasoma 155/105 pr 66 Kila asubuh napoamka napima Nina mashine ya BP ,,
Mwezi wa wakwanzamwishoni nilipima vipimo vya figo,ini,moyo vyote vilikua sawa,wiki ya mwisho namiezi mwingine yanyuma Kila wakati nlikua napima na kabla ya kuugua nilipima presha ilikua 140/90,142/91,136/87,,,baada ya kuumwa na nyuki haijawahi shuka presha...nin nifanye