Kwa wanaopenda kuchat usiku tukutane hapa

jamaa hakusoma chemistry kama single subject kama alivosoma mzee wake,ila alikua a medical specialist and a combat medic alipokua jeshini(Hii ni baada ya kufeli chuo kwa gpa ya 0.45/4.0 alikokua akisoma business)
Basi huyu alikuwa mtaalamu maana alikuwa anajua kuchanganya makemikaki ya kuyeyusha corpses. He took a nearly 10 yrs break from killing sijui kwanini alirudia kuua.
 
duh!..
anasema awe na sibling ili amle nyama.
I can feel the love

Kuna mjerumani mmoja jina Armin Meiwes (42yrs), yeye alikamatwa before getting to the serial.

He was neglected by his father akiwa mdogo. Akiwa mtoto alitamani awe na sibling ili amle nyama, akiamini akifanya hivyo watakua na ukaribu milele. At the age of 8 he fantasized about killing and eating someone hasa wanafunzi wenzake.

(Akiwa mtu mzima) Baada ya mama yake kufariki hamu ya kula nyama ya mtu iliongezeka, na ilimpelekea kaweka tangazo mtandaoni. Tangazo lilihitaji mtu mnono aliyetayari kuliwa. Cha ajabu alipata mteja mmoja aliyeitwa Bernd Brandes

Brandes alikubali willingly kuuliwa na kuliwa nyama, wote wakiamini kitendo hicho kitawaunganisha milele. Baada ya kuelewana walienda chumba cha machinjio victim alikatwa penis kwanza, ikakaangwa na wakala wote pamoja. Baada ya victim kupoteza damu nyingi alichinjwa, minofu iliwekwa kwenye jokofu na mifupa alifukiwa bustanini.

After several days jamaa aliona minofu inakaribia kuisha kwenye jokofu aliingia tena mtandaoni kutafuta mteja mwingine, this time alipata watu wa5. Kwa bahati jirani yake aliita polisi baada ya kuhisi activities zisizoeleweka kwenye nyumba ya Meiwes.

Akiwa gerezani alikuwa akiwaambia askari kwamba, the victim tested of pork na aliifaidi nyama akiwa na chupa ya South African red wine. It is believed jamaa alikua na matatizo ya akili so did the victim.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Those two were pure evil.Wote walikuwa damaged with their childhood.

Huyu mwanaume alipata ajali ya baiskeli akiwa kama sikosei 15yrs. Akapata majeraha kwenye fuvu la kichwa, akavunjika mkono, mguu na akapoteza fahamu wiki nzima. Miaka miwili baadae alibamiza kichwa akapoteza fahamu masaa 24.

Bila shaka kuna nyaya zilishachomoka kwenye ubongo wake.
Na mwanamke iliripotiwa kwamba she had sex with her father. Nadhani ndio maana hakuwa anaona hata shida kuachia watoto wake wabakwe na baba yao.

Kuna kitabu nilikisoma kinaelezea ila nimekisahau jina.
Hicho kitabu kitakuwa ni Out of the shadow.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom