Kwa wanaopenda kuchat usiku tukutane hapa

moyomacho

Senior Member
Feb 5, 2020
138
103
Kwa wale msio na usingizi usiku Kama Mimi karibuni tubaeilishane mawazo juu ya hivi vifuatavyo.

1. Biashara
2. Mapenzi
3. Kuwa na rafiki wa kawaida wa jinsia tofauti inawezekana?
4. Ni sahihi kuchati usiku ikiwa umeolewa au kuoa?
N.k

Karibu unaweza kuanzisha mada mojawapo Kati ya hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom