kwa wanaopenda ku..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wanaopenda ku.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by stevoh, Aug 7, 2012.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  HIVI UNAPOMSALIMIA MTU UNAPATA
  NINI NA JE? USIPOMSALIMIA MTU
  UNAKOSA NINI? hii ni kwa wale
  wanaopendaga kusalimiwa
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hahaaaa Salamu haigombi bwana wa-tz ni wakalimu bwana usiogope kutoa salamu!
   
 3. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  salam ni muhimu kuliko unavyofikiria...............
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kusema kweli naomba nikiri udhaifu, huwa nachoka kusalimiana!
   
 5. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni ki2 kidogo ila muhim sana ingawa si lazima pia..........
   
 6. m

  mkali mimi Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ila kuna wa2 wanapenda salam hadi bac.. asiposalimiwa 2..... ugomvi yan
   
 7. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  When you greet me it means to me that you acknowledge my existence and you care. If I also care About you, it makes me feel happy. If I don't care, then it is better when you don't greet me at all.but in general I am happy to be greeted and I like greeting people (very few exception). Even when I don't know them! I try as much as I can to smile at every eye contact I make.
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  The importance of salamu others shouldn't be overlooked !!
  It's the first opportunity we have to fucus entirely on another person , and the way you choose to use those initial second determines the tone of our interaction .
  Ikiwa utamsalimu mwenzako no matter She or He at warmly greetin' and focus on them with our undivided the conversation will most likely reflect that warmness.
  GREETING ALWAYS BUILDS STRONGER FRIENDLIER RELATIONSHIP.
  Eventhough now dayz urafiki wa kinafiki ndo uongozao ligi mf. Mkubwa uko hapa Jeiefu .
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mfano: Unaweza usimsalimie mtu ukapita ukaanguka na kuumia kama siyo kuzi100 sasa huyo ambaye hujamsalimia yeye ndiye msaada wako!
  Salamu muhimu bhana.....
   
 10. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mie kwa kweli napenda kusalimia, ila siipendi ile salam ya SHIKAMOOOO.
  Mama mwenye nyumba yangu huwa anasubiri hadi umpe SHIKAMOOO, ndo naye akusalimie. sasa na mie huwa nampa tu habari za kazi mama, umeshinda salama.

  Na kuna wengine ukiwasalimia hadi mushikane mikono, aarrrgh! ukikataa unaambiwa unaringa.

  Conclusion: Salam ni jambo jema, mbali na kujuliana hali, pia inakuweka katika mazingira ya kupata msaada endapo utakumbwa na tatizo, na pia ni mwanzo wa mahusiano mema.
   
Loading...