NEXTLEVEL
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 857
- 396
Limbwata au ni experts!?Ogopa Mwanamke wa kinyamwezi kwa Limbwata....
Limbwata au ni experts!?Ogopa Mwanamke wa kinyamwezi kwa Limbwata....
Sawa mgosya sunsu matyeUcjal, tupo pa1
Miziziilogy mkuu...Limbwata au ni experts!?
Mkuu watake radhi dada zangu aiseeMiziziilogy mkuu...
Wamfuma mwikulu =nisamehe mjukuu
Mwikulu wangaluka mwana wa Ntemi=Nenda kwa mjukuu wangu Yamakagashi
Walolo mayo watolwa mwana wa ntemi = Ndio mikono salama ninayokuacha kabla sijafa
Sasa ushauri usipo ufanyia kazi shauri yako
Hayo ukiyala sana nasikia huchelewi kuachia kaushuzi wakati wa tendo la baba na mama. Na kwa mwanaume kuachia ushuzi wakati ukimimina protini kwenye chungu cha mama unaweza kumsababishia mwanamke kansa ya via vya uzazi. God forbid yooooo.... Igweeee... chinekeee!!!Hhahahahahaa babuuuuu waweja kolombaa, karibu matobola na asali...
Teh teh sasa babu atasoma wapi saa hizi wakati hana nguvu tena ndio hivyo tena mwisho wake umefikaHhahahahahahaa weweee ngoja babu asome hapa kisha ntajua kama wewe ndo wakunipokea na kunilea pale atapokufa.
Umenikumbusha hayati mzee Mwinamila, dereva kalewa gongo ha,sawa Hiyo mi sikijui kinyamwezi wanyamwezi mpoooooo
Hayo ukiyala sana nasikia huchelewi kuachia kaushuzi wakati wa tendo la baba na mama. Na kwa mwanaume kuachia ushuzi wakati ukimimina protini kwenye chungu cha mama unaweza kumsababishia mwanamke kansa ya via vya uzazi. God forbid yooooo.... Igweeee... chinekeee!!!
Wafuma mwikulu - Umetoka Ikulu.
Wangaluka mwana wa Ntemi - Umeamkaje mtoto wa Mtawala.
Siyo Walolo mayo ni Aluyu mayo inamaanisha huyu hapa mama(mwanamke),
Watolwa mwana wa Ntemi - Ameolewa mtoto wa Mtawala.
Dah ww ndio hujui kabisa wafuma mwikulu =mana yake ametoka ikulu mtoto wa mfalme=wangaloka mwana wa ntemii = wangaloka mana yake asubuhi aloyo wawa wa tolaaa mwana wa ntemiii= mana yake huyu baba kaoa mtoto wa mfalmeee
Kuna chalii kanletea mmea akanidanganya ni wa Arusha... kumbe ni wa Tarime... Yani pafu mbili tu zimenipaishaHhahahahahahahaaaa wee babu wewee heheheheheheee mchana huu umekula maharage ya wapi wewe hehehehehehehehheeeee mbavu zangu mie looh...
Karibu sana, haahaaa huyo jamaa alitaka kukupoteza njia ili uchocholoni akukabeOoooh asante sana kaka kunirekebisha na kunitafsiria, naona Yamakagashi anataka kunipoteza kwa tafsiri ya kingoni hehehee looh
Kuna chalii kanletea mmea akanidanganya ni wa Arusha... kumbe ni wa Tarime... Yani pafu mbili tu zimenipaisha
Hapa najiona nimeyapatia maisha balaa.... Yani najiona kama Trump niko kwa ndege za pangaboi nikielekea Msata kumsalimia mama Salma Kikwete...
Shida zote za dunia nimewaachia wanyamwezi.
Kasie nimekuja kasi nikidhani unamaanisha Pugu kinyamwezi kumbe ni mambo ya maloveeHabari ya asubuhi wapendwa,
Jana usiku babu wa Kasie amenibembeleza kiaina yake, nilikuwa kila nikijigeuza usingizi hauji, kila nikigeuka huku usingizi unagoma nikamwambia babu mie sipati usingizi na muda unaenda asubuhi ntachelewa kuamka, basi babu akaamka na kuanza kunibembeleza kama mama anavombembeleza mwanaye aliyestuka usiku kwa kuota ndoto mbaya.
Basi babu akaanza kuniimbia nyimbo za kinyamwezi hahahahaa nikaanza kutabasamu huku anani petipeti mgongoni hadi nikapitiwa na usingizi.
Wimbo alioniimbia ninaoukumbuka ni huu....
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu wangaluka mwana wa Ntemi,
Walolo mayo watolwa mwana wa Ntemi
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu.. (sijui nimepatia matamshi unavoimbwa)
Maana yake hata sijui ni nini mie nilisikia raha tuu kubembelezwa na nyingine lizoniimbia sizikumbuki maana nilipotelea usingizini.
Babe ake Kasie is so lovey..... muah!! to him.
Kama unafuraha na tabasamu siku ya leo unga hapa kuimba kinyamwezi.

Ahsante mwaego...Hhahahahahaaaa na alaaniwe huyo chalii, na hisia zangu zinaniambia huyu atakuwa si mwingine bali ni Mentor bin Paulo Sergio De Souz ..... nyie hapo babu akiamka hapo alipo na kuacha mali zake nje zikaonekana na kadamnasi kwa kuzidiwa na msuba wallah mtawajibika, na mie ndo ntawawajibisha.
Pole mwaya babu.