Kasie nimekuja kasi nikidhani unamaanisha Pugu kinyamwezi kumbe ni mambo ya malovee![]()
![]()
![]()
![]()
Mbona wanadamu hampendi maendeleo ya watu lakini ? Haya mchukue basi wewe ila ndio hivyo babu mimi kanipa wosiaKaribu sana, haahaaa huyo jamaa alitaka kukupoteza njia ili uchocholoni akukabe
Ahsante mwaego...
Ila tu usisahau kuwa na moyo wa huruma na kujitolea. Mnyamwezi akikuacha kwangu nafasi ipo wazi. Upweke unanikondesha. Mi sihofii kula makombo.. Imagine juzi nlichukua dada poa pale corner bar eti nikamwona kama bikira....
Mshana wewee hahahaaa Pugu Kinyamwezi ndo nini??!!!! mie sijui bana ninong'oneze tafadhali looh nimpitwa hapo.
Malove si ndo nyota ya Kasie hehehehee wee ukimuona Kasie ujue ni malove love tuu nyuma yake maana nilizaliwa mwezi wa malove heheee.
njia ya kwenda Chanika kuna mahali panaitwa Pugu KinyamweziThats my girl...Hhahahahahahahahahahaaa hehehehehehehehheeee babuuu ujue mwenzio nimeshiba pilau baada ya kupona fluu na kupoteza hamu ya kula, sasa nikitapika pilau langu kwa kubanwa na mbavu za jinsi unavyonichekesha, utanifanya nije kulala kwako leo heheheheheheheheheee looh (utafurahiaje kama nakuona unavotabasamu hahahahaa)
Sasa upweke huo babu naona utakuletea balaa kiasi cha dada poa ukamuona bikira khaaah nna wasi wasi pia siku hiyo kwenye lager (Mentor na mwenzie Paulo) walikuwekea cha arusha.
Halafu hii kitu babu haina shombo wala makombo, aliiacha baba yao kaikuta anko na sasa anaendeleza ankoli, au umesahau kuwa shimo la panya halizibwi kwa mkate? hehehehehee pole sana babu Big Sam, kwa mtaji huu hakuna namna huruma inahusika na ntafanya the needful haraka ili madhara yasitokee.
Wala usipanic ndugu Njiwa bado yupo kwenye paa mimi sijampeperusha tupa tu mchele na karanga vizuri kuekekea ndani pengine ukamnasa, pia usihofu Mimi ni binamu yake na alishatangaza wazi binamu zake wakae mbali naye.Mbona wanadamu hampendi maendeleo ya watu lakini ? Haya mchukue basi wewe ila ndio hivyo babu mimi kanipa wosia
Ngoja nitafute wamang'ati wenzangu tukaongee kwa kusonya uje utafsiri pia
Wala usipanic ndugu Njiwa bado yupo kwenye paa mimi sijampeperusha tupa tu mchele na karanga vizuri kuekekea ndani pengine ukamnasa, pia usihofu Mimi ni binamu yake na alishatangaza wazi binamu zake wakae mbali naye.
Kimang'ati ukiandika akakuelewa itabidi utunukiwe PhD ya lugha.
Ufanikiwe mpaka mpaka ushangae mkuu



dah wewe jamaa una hatari ,mzaramo nini ? Sipati picha ukiwa unatongoza mwanamke anakuwa kwenye hali gani
Ndio dampo la vingunguti limehamishiwa hukoHhahahahahahaaa Mshana Chanika tenaa looh, sijawahi kufika hapo Pugu Kinyamwezi itakuwa kuna wanyamwezi walilowea hapo kutoka Tabora.
Thats my girl...
wanasemaga mtungi wa mama haujai... walahi kimiminika kilichopo hapa kiunoni, huo wa kwako ntaujaza...
Afu hapo red hapo... Yani hapo red hapo....
Hakika mimi na wewe tutaurithi ufalme wa Mungu pamoja... Ila jaribu kwanza kuchepuka na Nyani Ngabu ili tuangalie isije ikawa mnyamwezi kakuwekea tego... Mi sipendi kunasiana na Kasie asee. Siwezi kuvumilia nikikuona ukifia kifuani kwangu.
Wanyamwezi ni wabinafsi kama makabaila. Hawapendi kula vitu vizuri na ndugu zao... Khaaaa!!
Mkuu naogopa tu Sayansi na Teknolojia ya kiafrica ndiyo imenitisha vinginevyo ningekata rufaa kwa mods kwanini usifikiri wanazungumzia kwa Trump aka Unyamwezini wewe ukaiwaza dampo tu la Pugu daahNdio dampo la vingunguti limehamishiwa huko
Mkuu naogopa tu Sayansi na Teknolojia ya kiafrica ndiyo imenitisha vinginevyo ningekata rufaa kwa mods kwanini usifiri wanazungumzia kwa Trump aka Unyamwezini wewe ukaiwaza dampo tu la Pugu daah

Ndio dampo la vingunguti limehamishiwa huko
Hapana ni jina la zamani ila umaarufu uliletwa na dampoEeeuuuw, jamani sasa baada ya dampo kuhamishiwa hapo ndo pakaitwa Pugu Kinyamwezi au jina lilikuwepo kabla ya dampo kuwepo? au kuna mahusiano gani kati Pugu Kinyamwezi na dampo na wanyamwezi? au mie ndo sielewi....

Wamfuma mwikulu =nisamehe mjukuu
Mwikulu wangaluka mwana wa Ntemi=Nenda kwa mjukuu wangu Yamakagashi
Walolo mayo watolwa mwana wa ntemi = Ndio mikono salama ninayokuacha kabla sijafa
Sasa ushauri usipo ufanyia kazi shauri yako