Njiwa mwenyewe karuka mitego,manati,mishale ya kila aina so ukimwendea ujipange vizuri siyo uende na song la "Nitakupa Samaki Unikubalie" won't work inabidi ukanunue nyavu aina ya Kokolo yaweza kukusaidie nadhani mpaka hapo umeamini kwamba nakutakia mafanikio.dah wewe jamaa una hatari ,mzaramo nini ? Sipati picha ukiwa unatongoza mwanamke anakuwa kwenye hali gani
Acha uongoWamfuma mwikulu =nisamehe mjukuu
Mwikulu wangaluka mwana wa Ntemi=Nenda kwa mjukuu wangu Yamakagashi
Walolo mayo watolwa mwana wa ntemi = Ndio mikono salama ninayokuacha kabla sijafa
Sasa ushauri usipo ufanyia kazi shauri yako
Hahaha mkuu hapo unafikiria nitaenda na tongozo gani labda aamue kunipenda bureNjiwa mwenyewe karuka mitego,manati,mishale ya kila aina so ukimwendea ujipange vizuri siyo uende na song la "Nitakupa Samaki Unikubalie" won't work inabidi ukanunue nyavu aina ya Kokolo yaweza kukusaidie nadhani mpaka hapo umeamini kwamba nakutakia mafanikio.
Wawaga wa hwaniii walawela kinyamwezDah umenikumbusha miaka mingi sana iliyopita sasa hivi kuongea cha kuunga unga tu
Hahaha mkuu hapo unafikiria nitaenda na tongozo gani labda aamue kunipenda bure
Kuna wazee nawaona hapo juu wanavyomaga sera zao ngoja niwaachie
Kassie akiamua kunipenda bure basi heri asipoamua basi tena
Njogereza njogereza, njogerezaKasie ulevi wake mdogo tuu, muimbie nyimbo nyimbo nyingi nyingi tuu, mojawapo ikimkuna basi umempata.
Njogereza njogereza, njogereza
Njogereza akawaala ako'mukulu, olwa'leero njogereza
Njogereza akawaala kegombye, njogereza
Katulabe ekiva muyebilaka, olwa'leero njogereza.
Njogereza njogereza, njogereza
Njogereza akawaala ako'mukulu, olwa'leero njogereza
njogereza akawaala kegombye, njogereza
Katulabe ekiva muyebilaka olwa'leero njogereza.
Omwana wakabaka, osaanye nompuliriza baby
yoyayoya yoya nkuwerewo, ebyange sibilwisa yo baby
amanya bampita Lubwama, nva mulugya lwa kigozi
ndimuzukulu wa lubwama, siiga lya ndegeya, ahaa
Kasinde shigha du mbora
Teh teh juhudi zote hizi nafanya kubahatisha kumbe babu akitokea nakanwa ? Sasa nakauka koo hapa bure kumbe naburudisha babu akija ajichukulie tu ?Aaahahahahhaa ndo lugha gani hii naona ina kibantu na kiinglish humo humo heheheheee
Haya weka na tafsiri yake, halafu uendelee kuimba hadi ninogewe wimbo mwingine na mwingine tena.
Ila babu ake Kasie akikubamba unaniimbia mie nakukana kuwa sikujui looh heheheheee (jiandae kwa hilo).
Aaahahahahhaa ndo lugha gani hii naona ina kibantu na kiinglish humo humo heheheheee
Haya weka na tafsiri yake, halafu uendelee kuimba hadi ninogewe wimbo mwingine na mwingine tena.
Ila babu ake Kasie akikubamba unaniimbia mie nakukana kuwa sikujui looh heheheheee (jiandae kwa hilo).
Mmh ni kweli kasie but I jus can't remember exactly ni kitu ganiHayaa nawacha...
Ila..... kuna kitu muda wote huu najaribu kukumbuka lakini kumbukumbu inagoma..... kinachonijia akilini ni kuwa kuna kitu nilikuwa sijakamilisha kwako au hujamalizia kwangu sikumbuki ni nini, ila kilianzia humuhumu jukwaani..... kumbukumbu imegoma kabisaa.
Teh teh juhudi zote hizi nafanya kubahatisha kumbe babu akitokea nakanwa ? Sasa nakauka koo hapa bure kumbe naburudisha babu akija ajichukulie tu ?
Basi sitoi tafsiri babu akiona mwambie huyu ni mgonjwa wa akili hunielewi
Ndio bye bye Kasie tutaonana panapo majaliwa
Namaganda nze tombonyabonya, oweffumbe nze tonumya baby,
nandyagadde nkunanike empeta kasita ebintu tobiwanvuya
Ndimwana wa mpiisa nze banjulira ,banjulira ndi mukwata mpola
njagala kutwaleko mumawanga ge'bweru ,nkujje kukaalo nkulambuze ensi eno