Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
kuna pahala nilisoma pameandikwa..........if you are afraid of loneliness, do not marry
sasa sijui kuna ukweli hapo....manake people do really cheat ( kasoro mume wa natalia tu)
na mimi....
kuna pahala nilisoma pameandikwa..........if you are afraid of loneliness, do not marry
sasa sijui kuna ukweli hapo....manake people do really cheat ( kasoro mume wa natalia tu)
hahahaha! funguka tu mkuu kwa faida ya wote maana huu umekuwa utata sasa!
Taarifa baada ya habari!!!!!!
Kucheat kunaruhusiwa kimtindo especially mamaa anapokuwa amejifungua na analea ila ndomu kama kawaida na usiruhusu nyumba ndogo itawale familia yako bana. mamaa akipona rudi nyumbani bana na nyumba ndogo piga chini!!!!!the most important thing is that do whatever you can mamaa asijue ulicheat!!!!!!
na mimi....
wooi......tena wewe ndo wala usiseme.......braza we mbayaaaa......acha kabisa....nakuonaga unavosaundisha
weeeeeee... ma namsaundishaga muke wangu tu...
ntakubamba tu siku moja..........mpe hi wife
well said mdada... nimekukubali, tatizo ni kwamba wanaume wenhi wanaamini kuwa na mwanamke mmoja haiwezekani...
THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY!!!!!!!!! Baaaaaaaaaaaaaassss!
kutoka nje ya ndoa ni tabia tu,kama zilivyo kuvuta sigara na pombe kupita kiasi.kujirekebisha is the only solution.na kuwa na muda na mwenzi wako,jaribu kumpa muda zaidi pamoja na wewe,mzunguke wote pamoja,mueleweshane,,,mambo mswano,mtasonga.