Ndio maana,kuna mateso ya kila aina sasa ivi.unafanya zinaa unaendelea kurithisha vizazi na vizazi.
Halafu unakomalia mwanaume ndo kichwa aheshimiwe.kumbuka uwe umeoa au hujaoa unapofanya tu zinaa kwanza umemtukana Mungu kuwa hana akili aliposema usizini.
Ule utajiri wa mfalme suleimani unaukumbuka ulimkimbiaje?
Ndo mana watu weusi tunaambiwa hatuna akili,kwasababu wanaoitwa vichwa akili zao zimekaa kwenye genitals.
hata neno la Mungu linasema aziniye na mwanamke hana AKILI kabisa afanya jambo la kuangamiza nafsi yake(nafsi ndo yenye akili) ikishaibiwa wajanja wanaitumia kubunia vitu,viwandani,n.k. Hii ni sayansi ambayo iko beyond iyo ya darasani. ndo mana hutosikia a wealthy man in africa.unasikia tu vi-rich,tena kwa kustruggle na kuumiza watu kwa wizi ile mbaya.
Nafikiri wazungu kama walitengeneza ukimwi,watakuwa wametengeneza mdudu anaitwa zinaa labda anaingizwa ndani ya chanjo.
Jiangalieni sana nyie wanaume,hukamiliki na kuitwa lijali au mwanaume mwenye heshima kwa umalaya na kuzini ovyo ovyo.
kiuno kimebeba vitu vya thamani utajiri wa kila aina,kumbukeni ibrahimu aliambiwa kiuno chake kimebeba nini.ndo mana kahaba(mnaita smell house) ambaye ni shimo refu masaa yote ana njaa ya kumeza utajiri huo kwa utamu wa sekunde chache.
KUMBUKA sifa ya mwanaume ni akili,ndicho kinakupa heshima.na kama uwezo wa kureason umekwisha ndo sababu kedekede zinakimbiliwa.yanakuwa yale yale ya visingizio vya adam:ni huyu mwanamke uloyenipa.